Wee nitonye..!!

Nitonye tokea atumie avatar aliyowahi kutumia kakiiza simwamini kabisa
 
Achana nae bana, huyu anatafuta umaarufu kwa staili ya kuchafua majina ya wenzie!

Mwandiko wako tu unaonyesha kuwa wewe ni mwanaume tena wa shoka! Asikuzingue, usiharibu siku yako dakika za majeruhi. Mpotezee kabisa!

Usijali swty huyu alikosea njia
 
Samahani ndugu,kumbe we "M"!!siunajua jf hakuna picha wala nini!!punguza mipasho wewe,mimi nilikuwa na jua wewe ni binti wa kitanga au zanziber!!kumbe nimeingia chuo cha MASHETANI..!!
Je na huyo mwenzio Mpwa wako "REJAO" nae ni MKE AU MME??yaani ni Bi.Rejao au Bw.Rejao??
****** mwingine nashangaa kwanini unaachwa na mods. Watu kama wewe ndio mnaichafulia hadhi JF
 
****** mwingine nashangaa kwanini unaachwa na mods. Watu kama wewe ndio mnaichafulia hadhi JF

Hata mimi nashangaa huyu mtoto wa chuo vipi kaanzia kwa invisible sasa amekuja kwetu sijui anataka nini inabidi tumkague kwanza tusije tukawa tunamwonea bure
 
Wee,... unajua maana ya kuchafuana?

We Mr. Mzumbe uzi wako umeingia choo cha kike, subiri madongo yaani umeahindwa hata kwenda kwenye profile yake ukaangalia type of thread arizoanzisha na kuweza kudetect jinsia yake?

Pole,
 
Samahani ndugu,kumbe we "M"!!siunajua jf hakuna picha wala nini!!punguza mipasho wewe,mimi nilikuwa na jua wewe ni binti wa kitanga au zanziber!!kumbe nimeingia chuo cha MASHETANI..!!
Je na huyo mwenzio Mpwa wako "REJAO" nae ni MKE AU MME??yaani ni Bi.Rejao au Bw.Rejao??

Wewe ipi shida akilini mwako, hivi kuwajua hao itakusaidia nini? Naona unatafuta kuolewa kwa nguvu maana hatuwezi kujua wewe kama ni salama kwa mwenendo wako wa kushobokea wanaume tena wazi wazi.
 
Kha! Rejao?? Nitonye?? Mbona hao ni obvious jinsia zao zinajulikana through their posts bila shaka!!! Aisee kuna maswali mengine ni sawa na kuuliza "hivi nikijirusha toka ghorofa la tisa mpaka chini, ntaumia??" mmmh mr. Mzumbe u r baaaad!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom