websites zako 5 bora

Duh.. Bado watanzania tuko nyuma sana! Hv bado mnasearch news kwa kufungua website?.. Mi niliacha mda huwa natumia alert, na google reader, yaani habari zinanifuata mahali nilipo.

haya kiongozi tanuka tujifunze na wengine!inakuwajekuwaje hayo ma-reader na ma-alert?ma-alert yanaingia kwa fujo kama msg za tigo ukiishiwa salio?
 
Nasimamia mtaawasaba.com kwa sasa mpenzi... iyo mataka kijacho akija awe anaisimamia mi nikianza kuchoka

oukey huz. . . na vile nshajua kuwa ni bouncing baby boy we acha tu. n-way hebu tufanye mchakato wa kumtafutia jina kali. . .
 
we inaelekea unapenda sana pilau? he he...maana mawazo yote hapo huko, tupe link!!

:biggrin1: kuna siku nilisoma cnn kua porn sites are the most watched and visited by the online customers according to a survey sa nashangaa kila mtu hapa anajidai anaangalia bbc sijui nini wakati ukweli wa moyoni wanauficha
 
ok mkuu isiwe tabu,onyesha mfano kwa wenzio basi,tupia the best 5 porn sites!kazi ni kwako
 
Back
Top Bottom