websites zako 5 bora

mimi kila nikiingia ktk intaneti napita ktk hizi sites

1.jamiiforums
2.soccernet
3.harusiyangu.com
4.yahoo
5.facebook

leo nimekaa kutwa nzima ktk net mpaka nimekuwa bored,nikajiuliza kwani hakuna sites zingine nzuri?tupia websites zako 5 bora hapa pengine naweza kujua nyingine nzuri kupitia kwenu!

asanteni

Unaangalia mambo ya harusi!!

Una walakini....
 
Goal.com kupata update za football nikiwasha tu pc hata ya ofisin naanza na hii kabla sijaingia kwenye outlook kuchek e mails
2.Jamiiforums.
3. Nairaland.com hii ni jamiiforum ya kinigeria.. I real like their discusion
4.U turn kwa mange nachekaga sana nikisoma comments za wadada mule
5.Nba.com especially kipindi cha playoffs...
duh! na wakaka wako kule nilikua sijui lol! haya ndio wajiitaje kule
 
Wanaoendaga kwa kina mange, sintah na le mutuz mbona hamjitaji? charminglady njoo nikusute

yethu na maria, bora hiyo ya mange niliingiaga wakati wa mashindano flani hivi yalifanyika kijiji cha makumbusho. ila jina nimelisahau. lakini blog ya sintah na le mutuz hata sijawahi kupita!!!
 
Last edited by a moderator:
Unaangalia mambo ya harusi!!

Una walakini....

huenda anatarajia kuoa siku si nyingi so kuangalia sample ni muhimu. btw katika hiyo website ya harusiyangu.com kuna mambo mengi zaidi ya harusi. kuna sehemu watu wanaomba ushauri n.k.
 
Unaangalia mambo ya harusi!!

Una walakini....

Bofolo!mimi ni mdau wa mambo ya harusi,ni mshereheshaji na mpambaji pia,hivyo hapo ni kama kijiweni kuchungulia yanayojiri ktk ulimwengu wa harusi,ukiingia ktk hiyo site www.harusiyangu.com ktk list ya watoa huduma ya umc utaniona kwa jina hilihili ninalotumia hapa na ukienda kwa wapambaji/decorators utakuta kampuni yangu THE FUNCTION HOUSE.tembelea mkuu ucheki kazi zangu za mapambo.
 
Back
Top Bottom