Website ya Wizara ya Afya "hacked"

Wana JF
Siku nzima sasa naona website ya Afya imekuwa Hacked. sasa najiuliza hawa watu wa IT wameshindwa kulifanyia kazi suala hili? Pia naomba kama kuna mtu ana tetesi za Selection ya walioomba kusoma vyuo vya wizara ya afya kama zimetoka au zimekaribia kutoka.
 
Utakuta IT wao hajui hilo mbaka sasa. website nyingi za serikali ya bongo zimekaa kimagumashi kinoma ikiongozwa na website ya nchi yenyewe. Unakuta miezi mitatu inapita kwa webste hamnaa kilichobadilika wala habari kuongezwa.i
 
There is no security in Technology loop holes can arise from any unknown point. This has emerge as a challenge to advance security in technology.
 
Hawa wameonesha ushirikiano mzuri kwa kuwaunga mkono madaktari nchini, kwani tafsiri ya cellat ni "wauaji au wanyongaji" tena si kifo tu bali mateso makali na ndipo mauaji ya kikatili.

Kingine hebu tusubiri tuone, hili suala linaweza chelewa kutatuliwa hata mwezi mmoja...tukumbuke ile website ya bunge, iliwahi kaa miezi sita bila update yoyote, hadi lilipoibuka suala la bingwa aliyeibwaga serikali jana "Mahalu, Costa. Prof.

Sasa hili litafumbiwa macho na CCM, kana kwamba hakuna kilichotokea.
kama ni madaktari wa kitanzania walioko uturuki wamefanya hivi ni balaa!hii itamaanisha mgogoro wa serikali na madaktari haujaisha.
Je huu ni mzimu wa Dr ulimboka?
 
this is a serious national security event.lakini kwa nchi yetu ni jambo la kawaida sana
 
Hacking is sometimes called SOCIAL ENGINEERING. What these guyz did is just to do the so called reverse engineering. And their main objective is to show that they are smarter than those who are termed as System Security Experts of Cyber Infrastructure of the Ministry, if not the government at large. And they have greatly achieved their objectives by taking the expertise weakness of our cyber experts.



But the alarming problem here is to what sensitive are those files stored in the Ministry's server. If they of great important, now they fell on the hands of bad people and soon we will hear about the content of documents of the Ministry.



And for your information, you can easily become a HACKER if you wish. But the issue is how you are going to use the skills.
 
A software in utilization that has never been checked for security standards should be hacked to provide the awareness of what should be the role of the system administrator and the programmer as well. Watanzania tumedhalilishwa. Lets recruit competent computer scientists in Software Engineering ili kuiokoa nchi na umbumbumbu wa maendeleo katika ICT
 
imekuwa hacked na jamaa wa uturuki ambao huacha neno HACKEDBYCELLAT , nimegundua tovuti nyingi za joomla especially zenye template za Gavick Pro ndo jamaa wanaziattack
 
Back
Top Bottom