Website ya Waziri mkuu

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
837
Ukiisoma vizuri hii website utakuta makosa mengi sana lakini inawez akukupa insight kidogo jinsi gani ofisi ya Pinda inavyoongozwa na bunch of JOCKERS

tazama upande wa policy kisha utagundua either wanafanya kusudi ku sabotage au basi tuu hawajali

Halafu positions nyingi ziko wazi na watu kila kukicha wanaomba kazi lakini hawapewi

Pinda kulikoni?

No wonder akina Salva ikulu wamegoma kupandisha website ya Ikulu
 
sasa mkuu web link ya kayanza ipo wapi? gimme link pls.....
 
Ukiisoma vizuri hii website utakuta makosa mengi sana lakini inawez akukupa insight kidogo jinsi gani ofisi ya Pinda inavyoongozwa na bunch of JOCKERS

tazama upande wa policy kisha utagundua either wanafanya kusudi ku sabotage au basi tuu hawajali

Halafu positions nyingi ziko wazi na watu kila kukicha wanaomba kazi lakini hawapewi

Pinda kulikoni?

No wonder akina Salva ikulu wamegoma kupandisha website ya Ikulu

Du ...hapo GT ndo umeniacha hoi!....lol !

U r talking about the white-elephant websites!

Hawawezi ku-update zile kwasababu wataalamu waliozifungua walisharudi kwao...it was a funny business to amuse the pple!
 
Websites za Miafrika hizo...mlitegemea nini. Kazi kuiga iga tu mambo....vumbueni ya kwenu na nyinyi
 
Hiyo website ya Tanzania.go.tz miye kwangu ndio inakataliwa kabisa kuwa ni hack site! Nikiingia tu ving'ora vya kompyuta vinapiga kelele utadhani imepatwa na kifaduro.
 
hizi web site za tz ndio tunapigiaga tizi la hacking ziko uchi sana......hilo web ra taifa lina swine flu msilitembelee.....
 
in other words website ya serikali ina virus na ina spead virus na serikali haijali kabisa

makes you wonder kama wanajali wanafunzi kusoma chini ya miti
 
Ukiisoma vizuri hii website utakuta makosa mengi sana lakini inawez akukupa insight kidogo jinsi gani ofisi ya Pinda inavyoongozwa na bunch of JOCKERS

tazama upande wa policy kisha utagundua either wanafanya kusudi ku sabotage au basi tuu hawajali

Halafu positions nyingi ziko wazi na watu kila kukicha wanaomba kazi lakini hawapewi

Pinda kulikoni?

No wonder akina Salva ikulu wamegoma kupandisha website ya Ikulu

Kama kawaidaa yako GTkwa kutumia kigezo chako umeiona ya Kayanda tu mbona ya mfadhili wako ndio haifai kabisa;kwani sio tu haiwi updated bali ina virus pia, kwani ukiingia tu ving'ora mtindo mmoja!! Sijui hata kama mkulu mwenyewe anaitembelea hiyo website yao. Hata huyo msaidizi wa Rais aliyekuwa na blog yake angewasaidia basi kama ana utaalam!
 
Mkuu umeingia JF kwa ajiri ya GT au? maana naona unamkalia kooni kama vile umetumwa ule nae sahani moja.
 
Back
Top Bottom