Website ya UDSM mbona haiko User friendly? Tatizo nini?

Hiki Chuo Kikuu ni kikubwa , sasa unapoingia kwenye Website yao huoni huo ukubwa!
Website imekaa ki- utumbo utumbo tu!
Mtu unajaribu ku- access information , mfano: UDSM selection list 2023/2024 pdf.
Hiyo pdf yenyewe uki - click huioni! Ni utumbo mtupu!
Hao wanajulikana kwa uzembe
 
Hiki Chuo Kikuu ni kikubwa , sasa unapoingia kwenye Website yao huoni huo ukubwa!
Website imekaa ki- utumbo utumbo tu!
Mtu unajaribu ku- access information , mfano: UDSM selection list 2023/2024 pdf.
Hiyo pdf yenyewe uki - click huioni! Ni utumbo mtupu!
Nchi yetu ufahar wetu
 
Katika chuo chenye website ya hovyo tanzania basi UDSM namba moja, website imekaa hovyo kabisa mpangilio haueleweki kabisa.
 
Hiki Chuo Kikuu ni kikubwa, sasa unapoingia kwenye Website yao huoni huo ukubwa!

Website imekaa ki- utumbo utumbo tu!

Mtu unajaribu ku- access information , mfano: UDSM selection list 2023/2024 pdf.

Hiyo pdf yenyewe uki - click huioni! Ni utumbo mtupu!

utaratibu wa kuangalia selelction si walishautoa mda mrefu sana kwamb ukitaka kuangalia kama umekua admitted udsm u log in kweny account yako.sasa mbona kisiran sana jamaa ang.kila chuo na utaratibu wake.kila siku mada hua zinaanzishw tu mara sijui chuo fulan VS udsm.shida hua nin ndug zang
 
Huo nao ni ujinga mwingine!
Kwani kila anayeangalia list hiyo lazima awe ni mtu aliyekuwa admitted hapo UDSM!
UPUMBAVU WA KIWANGO CHA LAMI!
 
utaratibu wa kuangalia selelction si walishautoa mda mrefu sana kwamb ukitaka kuangalia kama umekua admitted udsm u log in kweny account yako.sasa mbona kisiran sana jamaa ang.kila chuo na utaratibu wake.kila siku mada hua zinaanzishw tu mara sijui chuo fulan VS udsm.shida hua nin ndug zang
Vyuo vinapokaribia kufunguliwa huwa kuna ile mtu anatoa sifa mbaya dhidi ya chuo fulani. Lakini sio mbaya ni sawa kwani wanapokosa ndio uongozi wa chuo husika wanapata wasaa wa kurekebisha changamoto hizo.
Kwangu mimi the best ni
UDSM
UDOM
Mzumbe
Muhimbili
SAUT
 
Kuna vijana wanadanganya wazazi wao kwamba wamechaguliwa. Yakiwa yanaonekana na wote itaepusha wazazi kupata hasara zisizo za lazima.
 
Back
Top Bottom