Wadau,
Nahitaji TV series za "It Might be You pamoja na Timeless"
Hizi series ziwahi kuonyeshwa na Star TV wakati fulani..... Naomba yule anayejua website nipoweza kuzidownload hizi au Mahali ninapoweza kuzinunua (kwa TZ) anifahamishe.
Nenda hapa Got BitTorrent | BitTorrent download software ya bitorrent then install kwenye pc yako then uitumie kama main search ya hizo series zako, Ukitype jina la series yako then click search itakupeleka moja kwa moja kwenye link ya kudownload hiyo series unayohiitaji au nenda hapa TV series, shows for mobiles - Fztvseries kupata series mbalimbali unazohitaji kwa format ya simu (3gp) au ya AVI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.