We Unasoma Uje DSM, mIE nISOME nIENDE wAPI!!!!!!?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
Imebainika kwamba sababu kubwa ya Wazaramo wengi kutohuduria vidato ni sababu ya kutoona umuhimu wa kufanya hivyi baada ya kuona outcome yake.....................sikia hii........kwamba wengi wanaosoma mustakabali wao ni kuja DSM kutafuta kazi na kwa sababu Wazaramo wao wako Dar HAWANA HAJA YA KUSOMA......................Na hilo hapo juu ndio swali lao kubwa....kwa sababau hii wameamua kutojiita wazaramo bali Watalamu.............
 
Back
Top Bottom