Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 804
Mkuu nadhan hapo kuna haja ya wewe mwenyewe kucheki mawazo yako! Mwanamke wa ndoa huangaliwa ktk vigezo vingi, nawe umekiri kwamba kuna mengi mnayoshare na kufarijiana.. Mwanamke wa ndoa hayupo kwa ajili ya starehe or style za mapenzi, yupo kwa ajili ya kulea familia na kuzaa watoto! Mkuu nadhan hayo ni mapungufu ya kawaida tu, chamsingi nenda nae taratibu, then kama ulivyosema umepitia mengi huko awali, nadhan ni wakati wa wewe kusahau yote uliyopitia na kuconcentrate kwa mkeo, akikuzalia mtoto utasahau yote hayo!