We are Sexually Incompartible!! Ndoa itadumu

Mkuu nadhan hapo kuna haja ya wewe mwenyewe kucheki mawazo yako! Mwanamke wa ndoa huangaliwa ktk vigezo vingi, nawe umekiri kwamba kuna mengi mnayoshare na kufarijiana.. Mwanamke wa ndoa hayupo kwa ajili ya starehe or style za mapenzi, yupo kwa ajili ya kulea familia na kuzaa watoto! Mkuu nadhan hayo ni mapungufu ya kawaida tu, chamsingi nenda nae taratibu, then kama ulivyosema umepitia mengi huko awali, nadhan ni wakati wa wewe kusahau yote uliyopitia na kuconcentrate kwa mkeo, akikuzalia mtoto utasahau yote hayo!
 
Mimi sioni cha kushauri, ni wewe mwenyewe kuchagua, kwani umemfunza hafundishiki (is there a slight chance ataimprove? Majibu unayomwenyewe). Ni swala la kuchagua tu, na better u do that before too late, kumpotezea muda with false hope au mimba!

U either live with it (unromantic ngono) or let her go! The sooner u decide the better fie both of u!
 
mhh ukimuoa huyo jiandae na mechi za mchangani.....ndoa si kusoma magazeti babu eee watuulize wenye ndoa zetu zinatizmiza miaka 70 sasa na kila siku wapya

serious?

Kwa kweli wewe na mwenzio mtakuwa hazina kubwa ya ushauri kuhusu ndoa za kudumu.
 
Kijana ukiamua kupenda Boga penda na ua babake. Kasoro zipo tu hata kwa anayejua majamboz, Unajua hata vidole vya mkononi havilingani lakini vinafanya kazi pamoja? Any way ni maamuzi yako.
 
Huyu mwanamama mwenzetu ambaye hataki kujifunza maubunifu na utundu ana matatizo
Hajui hili ni tatizo ...Natamani ningemuona nimpe neno kidogo la unyumba na mauzoefu...
 
Kakaangu mtu ana sifa zote hizo halafu unataka mwacha? utajajijutia maishani kuliko unavyodhani, maana utapata anaejua ngono lakini ana kila aina ya tabia chafu.

Huyo ni uvivu tu na kutojiamini kunamsumbua, hebu mtishie kwamba kama hataki kujifunza utamuacha na kuoa mwanamke mwingine uone atarespond vipi
 
Mkuu nadhan hapo kuna haja ya wewe mwenyewe kucheki mawazo yako! Mwanamke wa ndoa huangaliwa ktk vigezo vingi, nawe umekiri kwamba kuna mengi mnayoshare na kufarijiana.. Mwanamke wa ndoa hayupo kwa ajili ya starehe or style za mapenzi, yupo kwa ajili ya kulea familia na kuzaa watoto! Mkuu nadhan hayo ni mapungufu ya kawaida tu, chamsingi nenda nae taratibu, then kama ulivyosema umepitia mengi huko awali, nadhan ni wakati wa wewe kusahau yote uliyopitia na kuconcentrate kwa mkeo, akikuzalia mtoto utasahau yote hayo!

No hilo ni pungufu kubwa ndani ya ndoa. Tunda la bustani ya Aden ni lazima liliwe vizuri banaaaa. Tatizo kama hili ndio chanzo cha nyumba ndogo
 
Wana-JF wenzangu. Nimepambana na maisha na kuyaweka sawa na sasa imefika wakati naona ni bora nitulizane na kuoa ili niendelee na chapter nyingine ya maisha. Kuna huyu binti nimempata na tuko pamoja kama miaka miwili na nusu sasa. She's ok in so many ways kasoro ni kwamba linapokuja suala la ngono hatuko on the same page kabisaaaaaaa. Yaani ni gogo na mvivu 100% kwenye 6x6, na hajishuhulishi kabisaaaaaaa na chochote... ni ile style ya soma gazeti ukialimaliza litupe....kifo cha mende. ..nimejaribu kumweleza na kumfunza wapiii lakini anasema there's nothing she can do. Sasa nahofia kuja kuoa mke ambae tutakuwa hatuko sexually compartible.
Jee hii ndoa itadumu kweli? Madhara ya kutoridhishana kingono kati ya wapendanao ni yapi? Manake nimejitahidi ku-overlook lakini saa nyingine nakuwa tempted kukata kiu kwa makoloni ya zamani ambayo tunaivana kingono kitu ambacho sitokipendelea nikijaitwa mume wa mtu. Nataka nikioa nitulizane kama maji ya mtungi na sitaki nyumba ndogo. nimekwama. Nifanyeje? Nawasilisha
Kweli ni swali ngumu ila ni bora umejiuliza mapema kabla hujaoa. Kama walivosema waliotangulia ndoa sio kufanya mapenzi tu, kuna vitu vingi ndani yake ila kusema ukweli ni part kubwa ya maisha yetu.
Mi ningekushauri umuulize mwenzio swali hili. kuwa tu wazi nae, mwambie unaona itaakua ni mtihani mkubwa kwako kuoa mke ambae hataki kukuridhisha kitandani, na mbaya zaidi hataki hata kujaribu. ukiona hafanyi juhudi yoyote nakushauri uachane nae utafute mngine. kwa nini wewe ukubali sacrifice ya kuishi milele na mke mvivu kitandani na yeye asikubali sacrifice ya kumridhisha mume wake kwa kuongeza bidii? itakua ni kukuonea bure.
Ila all in all kumbuka hakuna mtu mkamilifu, hata wewe una kasoro zako na yeye yuko tayari kuzipokea. ongea nae tu mtafanikiwa.
 
hv ile kitu wanaita unyago/kitchen party hawafundishi haya mambo...mwambie unasurprise gift ambayo ni kumpeleka kwenye unyago hata wa part time..baada ya muda mfupi atakuwa mpya! Naamini kama tatizo ni hilo tu bado laweza kurekebishika

pia jaribu kutengeneza mazingira yenye kuleta hamasa, isijekuwa tatizo lipo kwenye mazingira yote kwa ujumla yakamfanya apoteze interest!
 
vuvuz no body in this world is perfect by 100% wewe ndio unaeweza kutoa uamuzi wa mwisho, hapa utapewa majibu mengi kwa kuwa kila mtu ana mtazamo wake na kumbuka 'miluzi mingi humpoteza mbwa' lakini kwa mtazamo wangu katika maisha ya ndoa tendo la ndoa ni muhiumu sana na nafasi yake haiwezi kuchukuliwa na kitu kingine, atakuwa mpishi mzuri kweli, msafi, n.k. lakini bado haya yote hayawezi kuwa mbadala wa tendo la ndoa, lakini ujue unaweza kumfunza taratibu na baadae mtaelewana tu, na hapo ndio kipengele cha uvumilivu kinatakiwa kuchukua nafasi, maandiko yanasema upendo huvumilia, basi mvumilie mpenzio ndoa ni package ya mambo mengi sana ndani yake na tendo la ndoa ni sehemu ndogo tu ndoa kwa hiyo mvumilie kwa hapo ili mjenge familia bora. mechi za mchangani kaka noma zitakuharibia furaha katika maisha yako ya ndoa achana nazo kabisa hazina mpango.
 
Huyu mwanamama mwenzetu ambaye hataki kujifunza maubunifu na utundu ana matatizo
Hajui hili ni tatizo ...Natamani ningemuona nimpe neno kidogo la unyumba na mauzoefu...

first lady usisema eti hataki kujifunza na anamatatizo, noo mie siamini katika hilo. we unajua ukiandaliwa vema wakata na kukatika bila ngoma, sasa usimlaumu bidada huyo huwezi jua anapata maandalizi gani? malezi yake yanasemaje inawezekana yeye kutia mautundu aona ni kama umalaya fulani, kwa hiyo anatakiwa asaidiwe psychologically ajue mitindo mbalimbali si uhuni ni mambo tu ya kuongeza utamu n.k n.k. ila kwetu sie wanawake wa leo tunatamani kwenda na kasi ya mambo, tunajifunza kilaa style za ngono, jamani style zingine hufanywa na wale sex workers kuwaridhisha wateja wao, sasa sie nae tukitaka kupambana na kila tukionacho kwenye movie za ngono tunaweza kujikuta tunaenda kubaya!
 
Ushauri usimuache,jaribu kumpa somo zaidi,mwanzo mgumu! Au try to ask her,pengine hana feelings.
 
kama uko seriours ni PM then unpe contact zake kwan soon kuna darasa la ufundji lilionda shule,mwambie aje apate kujua majamboz.
 
Ushauri usimuache,jaribu kumpa somo zaidi,mwanzo mgumu! Au try to ask her,pengine hana feelings.

Sasa kama yeye hana feelings, tatizo ni kwamba mimi napenda sana kula tunda tena tunda zuri, sio just kula tunda tu ushibe. Hapo ndio shida inakuja!
 
Wana-JF wenzangu. Nimepambana na maisha na kuyaweka sawa na sasa imefika wakati naona ni bora nitulizane na kuoa ili niendelee na chapter nyingine ya maisha. Kuna huyu binti nimempata na tuko pamoja kama miaka miwili na nusu sasa. She's ok in so many ways kasoro ni kwamba linapokuja suala la ngono hatuko on the same page kabisaaaaaaa. Yaani ni gogo na mvivu 100% kwenye 6x6, na hajishuhulishi kabisaaaaaaa na chochote... ni ile style ya soma gazeti ukialimaliza litupe....kifo cha mende. ..nimejaribu kumweleza na kumfunza wapiii lakini anasema there's nothing she can do. Sasa nahofia kuja kuoa mke ambae tutakuwa hatuko sexually compartible.
Jee hii ndoa itadumu kweli? Madhara ya kutoridhishana kingono kati ya wapendanao ni yapi? Manake nimejitahidi ku-overlook lakini saa nyingine nakuwa tempted kukata kiu kwa makoloni ya zamani ambayo tunaivana kingono kitu ambacho sitokipendelea nikijaitwa mume wa mtu. Nataka nikioa nitulizane kama maji ya mtungi na sitaki nyumba ndogo. nimekwama. Nifanyeje? Nawasilisha
Mkuu misuli yote hiyo umeshindwa kukageuza hako kasichana kweli, mbona unaweza, anaona akikuonyesha machejo utamwona mjanja halafu umuache, mshike mgeuze mwenyewe unavotaka, mbona wengine tunarushwa juu juu na kugeuzwa geuzwa, iweje wewe ushindwe? inamaana unamtoleaga macho makavu na kumwambia geuka, pale mahali hakuna kuulizana ni vitendo tu
 
Kaka wewe jaribu kuongea nae kwa uwazi zaidi kuhusu hilo tatizo na kama unataka kula tunda kwa raha zako jaribu kufanya kwa vitendo zaidi uone yeye atarespond vipi.
Kumbuka vitu kama upishi,usafi unaweza vipata kwa house maid ila tunda ni kwa mkeo au makoloni,usione aibu kumgeuza geuza maana kumbuka wewe ukienda kwa makoloni unapiga hardcore n even tigo sasa kwanini vyote hivyo usipate kwa shemeji jamani.
 
Nimeshaongea nae sana tena sana kila mara anasema atajitahidi, mara saa nyingine anasema there's nothing she can do. So far hakuna improvement yoyote. Yaani nimefanya kila juhudi na utundu harespond kabisa, na nimeshindwa sijui nifanyaje sasa. That's why nimekuja hapa JF kwani naamini hiki ni kisima cha hekima. All in all I'm in a big dillema
 
Back
Top Bottom