We are Sexually Incompartible!! Ndoa itadumu

Wana-JF wenzangu. Nimepambana na maisha na kuyaweka sawa na sasa imefika wakati naona ni bora nitulizane na kuoa ili niendelee na chapter nyingine ya maisha. Kuna huyu binti nimempata na tuko pamoja kama miaka miwili na nusu sasa.

She's ok in so many ways kasoro ni kwamba linapokuja suala la ngono hatuko on the same page kabisaaaaaaa. Yaani ni gogo na mvivu 100% kwenye 6x6, na hajishuhulishi kabisaaaaaaa na chochote... ni ile style ya soma gazeti ukialimaliza litupe....kifo cha mende. ..nimejaribu kumweleza na kumfunza wapiii lakini anasema there's nothing she can do. Sasa nahofia kuja kuoa mke ambae tutakuwa hatuko sexually compartible.

Jee hii ndoa itadumu kweli? Madhara ya kutoridhishana kingono kati ya wapendanao ni yapi? Manake nimejitahidi ku-overlook lakini saa nyingine nakuwa tempted kukata kiu kwa makoloni ya zamani ambayo tunaivana kingono kitu ambacho sitokipendelea nikijaitwa mume wa mtu. Nataka nikioa nitulizane kama maji ya mtungi na sitaki nyumba ndogo. nimekwama. Nifanyeje? Nawasilisha

Labda hana hisia na wewe au amekeketwa(inasemekana huondoa hisia pia)...........au anahisi "akishughulika" utamuona "kakubuhu" ie aliruka ruka ovyo na wanaume hivyo uogope kumuoa AU wewe unamlinganisha na hao waliopita wakati hana uzoefu wa kutosha.Mpeleke taratibu,kama ni mgeni katika hayo mambo,itamchukua muda,pengine hata hajajua tendo hilo linatakiwa limpe "KITU" gani ie output ya tendo wewe unaijua(kama unapanda mlima kilimanjaro,lengo ni ufike kileleni,je analijua hilo?huwa anafika?),Siku akifika huko...............HUTAAMINI!otherwise,Inaweza kuchukua miaka kadhaa kama hutakuwa mvumilivu na mpole katika kumuelekeza.Tatizo unamuelekeza huku una "una picha ya fulani anavyokuchanganyia mapishi kichwani ".Mpe muda.
 
zamani tulipokuwa tunabalehe tulikuwa tunaenda kwa kina iwee, pale.... Ndo walikuwa wanalala kam magogo, usilete ufundi kwenye mwili wa mwenzio... Pole kaka a umri gani? Nilipata msichana lakini yeye alikuwa anakatika isipokuwa alikuwa anachoka haraka nikaangukia kwenye mature pasture, mpaka leo napeta.. Maumivu yakizidi angalia pande za huko
 
Wana-JF wenzangu. Nimepambana na maisha na kuyaweka sawa na sasa imefika wakati naona ni bora nitulizane na kuoa ili niendelee na chapter nyingine ya maisha. Kuna huyu binti nimempata na tuko pamoja kama miaka miwili na nusu sasa.

She's ok in so many ways kasoro ni kwamba linapokuja suala la ngono hatuko on the same page kabisaaaaaaa. Yaani ni gogo na mvivu 100% kwenye 6x6, na hajishuhulishi kabisaaaaaaa na chochote... ni ile style ya soma gazeti ukialimaliza litupe....kifo cha mende. ..nimejaribu kumweleza na kumfunza wapiii lakini anasema there's nothing she can do. Sasa nahofia kuja kuoa mke ambae tutakuwa hatuko sexually compartible.

Jee hii ndoa itadumu kweli? Madhara ya kutoridhishana kingono kati ya wapendanao ni yapi? Manake nimejitahidi ku-overlook lakini saa nyingine nakuwa tempted kukata kiu kwa makoloni ya zamani ambayo tunaivana kingono kitu ambacho sitokipendelea nikijaitwa mume wa mtu. Nataka nikioa nitulizane kama maji ya mtungi na sitaki nyumba ndogo. nimekwama. Nifanyeje? Nawasilisha

Asikudanganye mtu; nyumba ndogo hakufatwi mauno tu. Tuulize sisi...
 
majibu yapo kwenye thread yako mkuu...wewe unapenda kupiga mechi kama upo fainali ya kombe la dunia wakati mwenzio anawaza kwenda saluni...uamuzi ni wako.
uishi nae hivyo hivyo au utafute mpenda ngono kama wewe uoe.
ila kumbuka ndoa ni zaidi ya ngono mkuu

wewe sio ivo bana..HAMAANISHI ANAPENDA NGONO...
uyu kaka m kweli kasema kinachomsibu ..km mtu wako akufikish itakuwaje?its true ndoa isnt abt ngono tu bt ile unayoitaka iwe kwenye kiwango basi....lasivyo utataman kwenda nje na iki kitu uyu kaka hatak...

so usimwte mpenda ngonoi....KUSEMA SIJASHIBA CHAKULA KIDOGO/HAKINA RADHA HAIMAANISHI WEWE NI MROHO.
 
Atafundishwa kwenye kitchen part,we oa tu kama umeridhika nae.
 
zamani tulipokuwa tunabalehe tulikuwa tunaenda kwa kina iwee, pale.... Ndo walikuwa wanalala kam magogo, usilete ufundi kwenye mwili wa mwenzio... Pole kaka a umri gani? Nilipata msichana lakini yeye alikuwa anakatika isipokuwa alikuwa anachoka haraka nikaangukia kwenye mature pasture, mpaka leo napeta.. Maumivu yakizidi angalia pande za huko
Kina iwee ndio nani?
 
huyo kama umeshamfundisha bado hafundishiki dawa ni kukichukua kifaa kipya, akiuliza unampa live, na umtishie asipotaka kubadilika hata round utakuwa humpi, ila kwa kuanza mtishie kwanza huenda akasanda.
 
nimekupata
 
Hiyo inatokana na nature. Hata usipomfundisha it will come naturally. Cha msingi wakati wa kufanya ngono usiwe na tendecy ya kutafuta raha bali kumpa raha mwenzako hilo ndilo linalopaswa kuwa lengo lako. Jitahidi kumpa raha mpenzi wako, akiweza kufika kileleni then ataanza taratibu kurespond kwa vitendo kwenye jitgada zako za kumpa utamu.matokeo ni utamu kwako pia.
 
Ahsante sana
 
She's ok in so many ways kasoro ni kwamba linapokuja suala la ngono hatuko on the same page kabisaaaaaaa. Yaani ni gogo na mvivu 100% kwenye 6x6, na hajishuhulishi kabisaaaaaaa na chochote... ni ile style ya soma gazeti ukialimaliza litupe....kifo cha mende. ..nimejaribu kumweleza na kumfunza wapiii lakini anasema there's nothing she can do. Sasa nahofia kuja kuoa mke ambae tutakuwa hatuko sexually compartible.

at least you are getting a half cooked bread............................majority of married men I know they are getting too little to qualify for anything.......................be contented for marriage is more than sex...............
 
Vuvuzela... majority ya watu unaowaona wanacheat wana tatizo la compartibility ya mahusiano ya kimwili na wenzi wao, this is either kwenye mawasiliano, mihemuko yenyewe, namna ya ufanyaji au hata demand... wengine ni rahisi kuwa satisfied na wengine la.

Fanya iwezalo kuongea na kujaribu 'wildlife' la sivyo hautaishi kwenye ndoa yenye furaha ya tendo na mara nyingi ujue kabisa ni kwa wote wawili ila wenzetu huwa hawasemi kirahisi.... you will end up being to frustrated, contradicting, incompatible dudes ... na kama ni ndoa katoliki basi ujue imekula kwako
 
MTM, we acha tu yaani bado niko njia panda. Nachanganyikiwa sana nikilifikiria hili suala. Hiyo 'wildlife' ndio unamaanisha nini?
 
Hevyo vigezo ulivyotoa naona tayari anaqualify kuwa mke zaidi ya 50%.

Hebu nikuulize huyo binti ni mwenyeji wa wapi au kabila gani? Nadhani ana miss skills fulani za jinsi kufanya mapenzi. Anza na style za kawaida tu kwanza atazoe. Anza na kama vile kichoma mboga, yeye akukalie juu (sijui inaitwaje). Sasa sijui kama kukatika ama kuchezesha kiuno anaweza hata kwa staili hiyo ya mende? kama awezi basi atakuwa ni mvivu kama anaweza basi mingine ataweza tu. Halafu pia jaribu kubadilisha mazingira ya kufanyia wakati mwingine mpeleke kwenye makochi, viti nk. jaribu pia bafuni, jikoni na hata siku nyingine mpeleke gest/hoteli ataelewa tu maana mambo hayo taratibu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom