we acha Kujipanga Baki ukisuBiria HESLB!!!

Aug 11, 2012
76
3
kuna wengi haswa wale wanao waficha wazazi wao kuhusu HESLB wakidhani Mkopo ni Obligatory kwa Kila Mwanafunzi....
Basi wazazi wao hela hufanyia mambo Mengine Bila Kujua Requirements za Chuo si Kama Secondary!!!!

mfano Advance na O level Matibabu ni 10,000

Balaa la Chuo Matibabu ni 100,000

nadhani Rank itapanda Mpaka!!"!!!!


****upate mkopo ukose Kujipanga ndio Kila Kitu


Bro wangu XXXXX aliacha Chuo sababu ya Mkwanja!!!
 
Chuo gan hiko matibabu 100,000?au ndo mnatisha wa2 2.

unashangaa 100,000 nadhani hao anglau josia kibira 200,000 na vyuo kibao hela iko juu cha kwangu 150,000 hivyo kweli kujipanga ndo mpango ila wengine hata tempo hatukupata sa hiyo ya kujipanga kali ndo unakuta madada wazuri wanageuka madada poa eti kujipanga ebu tumwombe Mungu huyu jamaa yetu heslb afunguke la sivyo mambo......!
 
Kujipanga ndo kila k2, kwan m2 acpojipanga mapema HaTa ka' akipata hilo BOOM atajikuta linampeleka pabaya. But all in all we must be patient Hopely coming week every thing will be out kwan Wana-wa-SAUT wana-registration on de same day. ***Good ThiNgs always came later, We must be PatIent 2 dis***
 
chu MATIBABU NI KILO MOJA kwaiyo kama hujui jipange unatakiwa uje kama na kilo nane ivi ndio utakua na uhakika tena hapo ukiwa na mkopo kama huamini nenda chuo na laki na nusu kama hujauza nguo
 
unashangaa 100,000 nadhani hao anglau josia kibira 200,000 na vyuo kibao hela iko juu cha kwangu 150,000 hivyo kweli kujipanga ndo mpango ila wengine hata tempo hatukupata sa hiyo ya kujipanga kali ndo unakuta madada wazuri wanageuka madada poa eti kujipanga ebu tumwombe mungu huyu jamaa yetu heslb afunguke la sivyo mambo......!

nani huyo anashangaa laki tena hata kama hauumwagi utatoa tu laki
 
Ada 550,000/-,matibabu 100,000/-,hostel,200,000/-,matumizi binafsi450,000/-, jumla 1,300,000/-(kwa muccobs )
 
Back
Top Bottom