Wazoefu naomba mnisaidie, nataka kuoa mwanamke wa kingoni, nini sifa zao kuanzia chumbani Hadi sebuleni?

Swali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini?
We kaoe Mzee. Mengine utakutana nayo huko huko.

Tokea nimeingia jf, hakuna kabila ambalo halijawahi kusemwa vibaya. Humu watu watakupa historia za ma-ex zao badala ya kabila husika.....sasa ukisikiliza maneno ya wenye hasira za matukio ya ma-ex zao, hutooa.
 
wana heshima na ukiwa unajimudu japo kidogo ni waaminifu...yaan just kula na nguo hutamsikia akihangaika na mwanaume mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom