Wazo la leo: Tumia JF kumjua mwanamke mwenye akili (mke bora)

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,254
34,205
Wahenga wanashauri oa mke mwenye akili, sasa akili ya mtu unaweza ipima kutokana na vitu mtu anafanya au anapenda kufanya.

Unaweza tumia JF kujua huyu mtu anapenda nini na baada ya hapo ndio utajua huyu mwanamke ana akili au ni wale wanaotumia makalio badala ya akili kuishi hapa duniani!

Sasa fwata huu mwongozo kumjua mwanamke mwenye akili.

1. Ukiona mwanamke mara kwa mara au 90% ya muda wake hapa JF yupo jukwaa la chitchat, jukwaa la mapenzi jukwaa la celebrite au jukwaa lingine linalofanana na hayo jua huyo ana akili ndogo achana nae.

2. Ukiona mwanamke walau asilimia 70 mpaka 90 ya muda wake hapa JF anautumia katika majukwaa kama biashara, intelijensia, international forum, ujenzi, technolojia, dini na majukwaa mengine ambayo yanahitaji utumie "akili" ili uchangie jua huyo ana akili na unaweza weka ndani maana hakuna mwanamke mwenye akili ndogo atasogelea haya majukwaa!

Yangu ni hayo, sasa kazi kwako usije sema hatujakwambia!

Upepo wa Pesa.
 
Back
Top Bottom