Waziri Zambia ajiuzulu baada ya video inayomuonesha akipokea rushwa kusambaa. Mafisadi kumbe ndivyo namna wanakula keki ya Taifa!

100 others

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
3,749
12,585
_132148268_gettyimages-1245588002.jpg.webp

Stanley Kakubo ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa Zambia amejiuzulu baada ya video inayoonyesha yeye na mfanyabiashara wa Kichina wakikabidhiana vibunda ambapo inasemekana ni US dollars na Zambian kwacha.

View: https://streamable.com/m1vwpu

Inasemekana jamaa alikuwa anapokea mlungula kutoka kwa mfanyabiashara huyo wa ki China ambae anajihusisha na biashara za madini.

Kakubo ambae inasemekana tayari alishakuwa na scandal ya kuonekana akitoka nje ya ofisi ya kampuni ya Kichina inayohusika na utengenezaji wa cement akiwa na briefcase, inasemekana jamaa alikuwa ametoka kupata mlungula.

Kakubo amejitetea kwa kusema ilikuwa ni biashara ya kifamilia ikifanyika. Lakini Mr Hichilema amekubali Kakubo kujiuzulu.

Aisee watu wanakula maisha, vile vibunda si chini ya milioni 400 Tshs. Watu wanakula maisha jamani.

Mafisadi kumbe ndivyo namna wanakula keki ya taifa namna hii.
 
Stanley Kakubo ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa Zambia amejiuzulu baada ya video inayoonyesha yeye na mfanyabiashara wa kichina wakikabidhiana vibunda ambapo inasemekana ni US dollars na Zambian kwacha.

View: https://streamable.com/m1vwpu

Inasemekana jamaa alikuwa anapokea mlungula kutoka kwa mfanya biashara huyo wa ki China ambae anajihusisha na biashara za madini.
Kakubo ambae inasemekana tayari alishakuwa na scandal ya kuonekana akitoka nje ya ofisi ya kampuni ya kiChina inayohusika na utengenezaji wa cement akiwa na briefcase , inasemekana jamaa alikuwa ametoka kupata mlungula.

Kakubo amejitetea kwa kusema ilikuwa ni biashara ya kifamilia ikifanyika.
Lakini Mr Hichilema amekubali Kakubo kujiuzulu.

Aje Tanzania agombee kupitia CCM, kitita atapata na uwaziri wake utapongezwa na kupe Lucas Mwashambwa.
 
_132148268_gettyimages-1245588002.jpg.webp

Stanley Kakubo ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa Zambia amejiuzulu baada ya video inayoonyesha yeye na mfanyabiashara wa kichina wakikabidhiana vibunda ambapo inasemekana ni US dollars na Zambian kwacha.

View: https://streamable.com/m1vwpu

Inasemekana jamaa alikuwa anapokea mlungula kutoka kwa mfanya biashara huyo wa ki China ambae anajihusisha na biashara za madini.
Kakubo ambae inasemekana tayari alishakuwa na scandal ya kuonekana akitoka nje ya ofisi ya kampuni ya kiChina inayohusika na utengenezaji wa cement akiwa na briefcase , inasemekana jamaa alikuwa ametoka kupata mlungula.

Kakubo amejitetea kwa kusema ilikuwa ni biashara ya kifamilia ikifanyika.
Lakini Mr Hichilema amekubali Kakubo kujiuzulu.

Aisee watu wanakula maisha, vile vibunda si chini ya milioni 400 Tshs. Watu wanakula maisha jamani.

Mafisadi kumbe ndivyo namna wanakula keki ya taifa namna hii.

Mchina ndio kavujisha hiyo video😂
 
_132148268_gettyimages-1245588002.jpg.webp

Stanley Kakubo ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa Zambia amejiuzulu baada ya video inayoonyesha yeye na mfanyabiashara wa Kichina wakikabidhiana vibunda ambapo inasemekana ni US dollars na Zambian kwacha.

View: https://streamable.com/m1vwpu

Inasemekana jamaa alikuwa anapokea mlungula kutoka kwa mfanyabiashara huyo wa ki China ambae anajihusisha na biashara za madini.

Kakubo ambae inasemekana tayari alishakuwa na scandal ya kuonekana akitoka nje ya ofisi ya kampuni ya Kichina inayohusika na utengenezaji wa cement akiwa na briefcase, inasemekana jamaa alikuwa ametoka kupata mlungula.

Kakubo amejitetea kwa kusema ilikuwa ni biashara ya kifamilia ikifanyika. Lakini Mr Hichilema amekubali Kakubo kujiuzulu.

Aisee watu wanakula maisha, vile vibunda si chini ya milioni 400 Tshs. Watu wanakula maisha jamani.

Mafisadi kumbe ndivyo namna wanakula keki ya taifa namna hii.

Ndio maana unaona uchaguzi ukifika ukikaa vibaya ccm wanakutoa hado roho unakufa kabisa filia mbali

😆😆😆
 
_132148268_gettyimages-1245588002.jpg.webp

Stanley Kakubo ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa Zambia amejiuzulu baada ya video inayoonyesha yeye na mfanyabiashara wa Kichina wakikabidhiana vibunda ambapo inasemekana ni US dollars na Zambian kwacha.

View: https://streamable.com/m1vwpu

Inasemekana jamaa alikuwa anapokea mlungula kutoka kwa mfanyabiashara huyo wa ki China ambae anajihusisha na biashara za madini.

Kakubo ambae inasemekana tayari alishakuwa na scandal ya kuonekana akitoka nje ya ofisi ya kampuni ya Kichina inayohusika na utengenezaji wa cement akiwa na briefcase, inasemekana jamaa alikuwa ametoka kupata mlungula.

Kakubo amejitetea kwa kusema ilikuwa ni biashara ya kifamilia ikifanyika. Lakini Mr Hichilema amekubali Kakubo kujiuzulu.

Aisee watu wanakula maisha, vile vibunda si chini ya milioni 400 Tshs. Watu wanakula maisha jamani.

Mafisadi kumbe ndivyo namna wanakula keki ya taifa namna hii.

Huyu jamaa ni mashamba sana unaazaje kupokea maburungutu ya fedha wakati kuna electronic system za kutuma pesa
 
_132148268_gettyimages-1245588002.jpg.webp

Stanley Kakubo ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa Zambia amejiuzulu baada ya video inayoonyesha yeye na mfanyabiashara wa Kichina wakikabidhiana vibunda ambapo inasemekana ni US dollars na Zambian kwacha.

View: https://streamable.com/m1vwpu

Inasemekana jamaa alikuwa anapokea mlungula kutoka kwa mfanyabiashara huyo wa ki China ambae anajihusisha na biashara za madini.

Kakubo ambae inasemekana tayari alishakuwa na scandal ya kuonekana akitoka nje ya ofisi ya kampuni ya Kichina inayohusika na utengenezaji wa cement akiwa na briefcase, inasemekana jamaa alikuwa ametoka kupata mlungula.

Kakubo amejitetea kwa kusema ilikuwa ni biashara ya kifamilia ikifanyika. Lakini Mr Hichilema amekubali Kakubo kujiuzulu.

Aisee watu wanakula maisha, vile vibunda si chini ya milioni 400 Tshs. Watu wanakula maisha jamani.

Mafisadi kumbe ndivyo namna wanakula keki ya taifa namna hii.

Bongo wahindi walisha wafanyia Sana mawaziri toka enzi za Nyerere
 
Back
Top Bottom