Tuta Absoluta Kantangaze
Member
- Nov 2, 2023
- 32
- 178
AJE AJIUNGE NA CCM
Kwa cheo chake, kupokea kiasi kikubwa cha pesa kwa e systems ni hatari kuliko hiyo aliyotumia.Huyu jamaa ni mashamba sana unaazaje kupokea maburungutu ya fedha wakati kuna electronic system za kutuma pesa
Si zinaweza kugawanya hata kwa jamaa na marafiki na ndugu.. mpaka mzigo wote uishe halafu kww dunia ya,tatu sio issue sana labda huko majuuKwa cheo chake, kupokea kiasi kikubwa cha pesa kwa e systems ni hatari kuliko hiyo aliyotumia.
Huoni escrow mtandao ulivyokua unadakwa kirahisi kwa kuingizia pesa kwenye accounts zao.
Ukiwa mpigaji ni mwendo wa cash,
Yaani umpe rafiki 100M akushikie, we jamaa yaani we mchizi wako adeposit 100M utiacha salama wewe??Si zinaweza kugawanya hata kwa jamaa na marafiki na ndugu.. mpaka mzigo wote uishe halafu kww dunia ya,tatu sio issue sana labda huko majuu