Waziri wa zamani wa Guinea afariki akiwa gerezani

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,316
5,479
Waziri wa zamani wa Guinea, Lounceny Camara (62) ambaye alifungwa jela akishutumiwa kwa ubadhirifu wa pesa za umma na utawala amefariki Dunia.

Utawala wa kijeshi uliomuondoa madarakani aliyekuwa Rais wa taifa hilo, Alpha Conde, mwaka 2021 ulishutumu viongozi kadhaa akiwemo Camara ambaye alipata kiharusi Agosti 19, 2022 na kufariki kesho yake.

Familia yake ilikata rufaa Mahakamani ili Camara aruhusiwe kusafiri nje ya Nchi kupata matibabu lakini hawakufanikiwa.

Tangu 2021, Shirika la Kutetea Haki za Binadamu, Amnesty International limekuwa likikosoa kukosekana kwa haki za binadamu katika magereza ya Guinea.

===========

Former minister imprisoned by guinea junta dies in jail

A former minister imprisoned by the military regime running Guinea has died in prison, his brother has announced.

Lounceny Camara, 62, was among several former ministers and senior figures accused of having embezzled public money and jailed after the military overthrew former president Alpha Conde last year.

Camara suffered a stroke on Friday and died the following evening in hospital, his brother Ibrahima Camara told AFP.

The family had appealed in vain to the courts for Camara to be allowed to travel abroad for treatment, he added.

Camara had already been admitted to hospital once before during his incarceration, in early May soon after he was jailed.

Justice Minister Charles Alphonse Wright said in a statement carried by local news media that Camara had received the treatment he needed at the university hospital in Conakry.

Camara had been indicted with embezzling public money and other corruption-related charges. He was a leading member of Conde's Rally for the Guinean People (RPG) party.

Amnesty International, which has been very critical of the rights situation in Guinea, said in February 2021 that prisons in the country were notorious for abusing the rights of inmates.

Colonel Mamady Doumbouya seized power in September 2021, making himself president, and has declared that the fight against corruption is one of his priorities.

He has cracked down not just on senior figures in Conde's administration, but opposition activists opposed to his rule.

Source: Ewn
 
Ikiwa nchi ilichukuliwa kijeshi bwana huyo kuwekwa jela ni neema angeweza kunyongwa muda mrefu, na tukumbuke unapoingia utawala wa kijeshi maana yake katiba huwa haina kazi maana uongozi haupo nahuu ni uhalisia
 
Tanzania waziri hawezi kusondekwa jela kwa tuhuma kama hizo, hata akina Chenge wapo tu uraiani wanatesa na akina Mwigulu wakiwa mawaziri ndio wanakuwa na uwezo wa kumiliki vilabu vya mpira.

Hii nchi ni nchi moja ya hovyo sana.
 
Back
Top Bottom