Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Je Mheshimiwa JK unayo habari kuwa kuna mwekezaji (serikali ya UAE) alikuja Tanzania miezi 2 iliyopita na kuahidi angewekeza kwenye uchumi wa Tanzania dola bilioni 20 kwa mwaka kwenye miradi ya maendeleo na uchumi Tanzania kwa sharti la kutaka proposal yake ipitiwe lakini kilchotokea ni kuwa waziri SOSPETER MUHOGO aliwatimua na aligoma hata kujibu proposals walizokuja nazo hawa watu
Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue alishapatiwa taarifa lakini kuna habari kuwa barua za malalamishi hazijafika kwa bosi wake...yaani JK.
Kuna watu wanajaribu kuizima hii habari lakini hii ndio Tanzania, nchi ya kufikirika ambayo wananchi wanafichwa na hawaambiwi kinachoendelea
Hivi mnajua 20 billion USD ni sawa na trilioni ngapi za Tanzania?
halafu tunatafuta mchawi
cha ajabu Zitto Kabwe ambaye ni waziri kivuli anajua hii habari lakini naye hakusema kitu bungeni zaidi ya kulalamika pembeni
Mnauza nchi kwa kutuletea vihoja vya uwekezaji.Kwani lazima wawekezaji watoke nje? Nchii si ya kwetu kwanini tunataka watu wa nje waje waijenge? Tuache kuwa wavivu na opportunists. Hongera Prof kwa kukataa proposal za magumashi. Kama wanataka wafanye wenyewe.