hii deal ilikuwa na viungo vya ki-nigeria, only a naive and gullible can jump on your wagon baby! muhongo keep on bursting those fake-ass deals.
Sikuzote matapeli huw wanakuja na proposal nzuri na za kuvutia..mwisho wake ni kilio..nampa 100 wazir husika...
Tataizo la hawa ni :
WAISLAM
WAARABU
this doesnt abode well na GREAT THINKERS wa JF
sasa investor ana worth usd bilioni 800 na usheee atashindwa kutoa hizo bilioni 20?
udini una cloud judgement yetu
mimi nishasema wakishasali taraweh watapigiana simu ili kujua ukweli ni upi na kesho wajibu vipi mapigo