Huu Mkataba siyo Intergovernmental, Dubai siyo Nchi

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,217
Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.

Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.

"
Can Dubai on its own enter the intergovernmental agreement ?

No, Dubai, as a city within the United Arab Emirates (UAE), does not have the authority to independently enter into intergovernmental agreements with foreign countries. The UAE, as a sovereign nation, is responsible for conducting international relations and negotiating agreements with other countries on behalf of all its emirates, including Dubai.
The UAE's federal government, based in Abu Dhabi, is the entity that handles foreign affairs, diplomacy, and the signing of international agreements. While Dubai has some autonomy in specific areas such as economic policies and regulations, matters of international diplomacy and foreign policy fall under the jurisdiction of the federal government.
Therefore, any intergovernmental agreements involving the UAE would be negotiated and signed by the federal government in coordination with all the emirates, including Dubai.
"
 
Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.

Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.

Yule mama alisaini tu hakuusoma na hata angeusoma mmmh
 
Attachments

  • CCF8BE90-090E-478F-89C2-7DED3BFBF640.jpeg
    CCF8BE90-090E-478F-89C2-7DED3BFBF640.jpeg
    75.7 KB · Views: 9
Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.

Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
Lord denning Faizafoxy covax washasema huo sio mkataba!!
 
Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.

Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
Hivi kwanini hili halitolewi ufafanuzi? Halafu kwenye IGA wameongelea mambo ya kidiplomasia kuharibika, kutovunjika kwa mkataba.
Sasa tunawezaje kuingia mgogoro wa kidiplomasia na jimbo la UAE? Na jimbo lenyewe hatuna mahusiano ya kidiplomasia nalo? Na haiwezekani kuwa na mahusiano ya kidiplomasia na mkoa ndani ya UAE.
Mwenye territory ni UAE. Hivi UAE ikisema huingii Dubai, utaingia?
Je, Dubai inamiliki passport inayotambulika na duniani?
 
Yaani ni mambo ya kijinga kabisa
 
Kuna kila dalili kuwaomba wenzetu kutoka +254 kutusaidia kumuelewesha Rostam, Fred Lowasa, Saa100, Mwanasheria mkuu wa serikali , Mbarawa.na wale Jamaa zetu kule Dodoma kuhusu makaratasi ya DP World.

+254 wabatuchrka na kutushangaa
 
Attachments

  • 3A036D04-C1C0-4952-A261-B66D60AF1423.jpeg
    3A036D04-C1C0-4952-A261-B66D60AF1423.jpeg
    58 KB · Views: 7
  • BCC02057-C8F2-4060-813C-9547483BF9E8.jpeg
    BCC02057-C8F2-4060-813C-9547483BF9E8.jpeg
    79.5 KB · Views: 4
  • C07342F4-B386-4F9E-A259-49C58A0105C8.jpeg
    C07342F4-B386-4F9E-A259-49C58A0105C8.jpeg
    32 KB · Views: 3
  • 63A08392-50A2-4427-94BE-E54988D02418.jpeg
    63A08392-50A2-4427-94BE-E54988D02418.jpeg
    55.3 KB · Views: 3
  • A6E07D14-42E5-4042-90B5-ABCB825E4251.jpeg
    A6E07D14-42E5-4042-90B5-ABCB825E4251.jpeg
    150.5 KB · Views: 3
  • 4FE21E47-F74A-48C8-8A6D-C95CCF6C6894.jpeg
    4FE21E47-F74A-48C8-8A6D-C95CCF6C6894.jpeg
    131.1 KB · Views: 4
  • 00FBD160-92F4-40BD-9FE4-A9AFF00BE168.jpeg
    00FBD160-92F4-40BD-9FE4-A9AFF00BE168.jpeg
    75.7 KB · Views: 4
  • 26CB4069-AF9A-4384-BE5C-45F0240A56A9.jpeg
    26CB4069-AF9A-4384-BE5C-45F0240A56A9.jpeg
    55.1 KB · Views: 3
Kuna kila dalili kuwaomba wenzetu kutoka +254 kutusaidia kumuelewesha Rostam, Fred Lowasa, Saa100, Mwanasheria mkuu wa serikali , Mbarawa.na wale Jamaa zetu kule Dodoma kuhusu makaratasi ya DP World.

+254 wabatuchrka na kutushangaa
Asante sana
 
Hivi kwanini hili halitolewi ufafanuzi? Halafu kwenye IGA wameongelea mambo ya kidiplomasia kuharibika, kutovunjika kwa mkataba.
Sasa tunawezaje kuingia mgogoro wa kidiplomasia na jimbo la UAE? Na jimbo lenyewe hatuna mahusiano ya kidiplomasia nalo? Na haiwezekani kuwa na mahusiano ya kidiplomasia na mkoa ndani ya UAE.
Mwenye territory ni UAE. Hivi UAE ikisema huingii Dubai, utaingia?
Je, Dubai inamiliki passport inayotambulika na duniani?
Watupe majibu makini badala ya majibu ya propaganda.
 
Back
Top Bottom