Waziri wa nishati na madini Mh Muhongo afukuza mwekezaji aliyetaka kuwekeza Usd 20 BILLION Tanzania

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
266
TypeJoint stock company (Government owned)
IndustryDiversified Investments
FoundedOctober 2002
HeadquartersAbu Dhabi, United Arab Emirates
Key peopleHH Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Chairman
Khaldoon Khalifa Al Mubarak, CEO and Managing Director
Revenue
11px-Increase2.svg.png
US$7.59 billion (2011)
Net income
11px-Increase2.svg.png
US$1.14billion (2011)
Total assets
11px-Increase2.svg.png
US$ 48.19 billion (2011)
Total equity
11px-Increase2.svg.png
US$ 28.97 billion (2011)
Employees700 (2011)
Websitehttp://www.mubadala.ae

TypeSovereign wealth fund
IndustryInstitutional investor
Founded1976
HeadquartersAbu Dhabi, United Arab Emirates
Key people Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan, Chairman
Sheikh Hamed bin Zayed Al Nahyan, Managing Director
Total assets (estimated $300 - $875 billion)
Websitewww.adia.ae

Je Mheshimiwa JK unayo habari kuwa kuna mwekezaji (serikali ya UAE) alikuja Tanzania miezi 2 iliyopita na kuahidi angewekeza kwenye uchumi wa Tanzania dola bilioni 20 kwa mwaka kwenye miradi ya maendeleo na uchumi Tanzania kwa sharti la kutaka proposal yake ipitiwe lakini kilchotokea ni kuwa waziri SOSPETER MUHOGO aliwatimua na aligoma hata kujibu proposals walizokuja nazo hawa watu

Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue alishapatiwa taarifa lakini kuna habari kuwa barua za malalamishi hazijafika kwa bosi wake...yaani JK.

Kuna watu wanajaribu kuizima hii habari lakini hii ndio Tanzania, nchi ya kufikirika ambayo wananchi wanafichwa na hawaambiwi kinachoendelea

Hivi mnajua 20 billion USD ni sawa na trilioni ngapi za Tanzania?

halafu tunatafuta mchawi

cha ajabu Zitto Kabwe ambaye ni waziri kivuli anajua hii habari lakini naye hakusema kitu bungeni zaidi ya kulalamika pembeni

profile ya kampuni ya MUBADALA na ABUDHABI INVESTMENT AUTHORITY hizi hapa:

http://www.mubadala.ae/

http://www.adia.ae/En/home.aspx

Mubadala Development Company PJSC (Mubadala) was established in October 2002 as a Public Joint Stock Company and is a wholly owned investment vehicle of the Government of Abu Dhabi, in the United Arab Emirates.
Mubadala's mandate is to facilitate the diversification of Abu Dhabi's economy. Its focus is on managing long-term, capital-intensive investments that deliver strong financial returns and tangible social benefits for the Emirate. The company pursues opportunities with the potential to deliver strong social returns for Abu Dhabi as well as generating a commercial profit.[SUP][1]

[/SUP]
Aerospace

Mubadala Aerospace aims to establish Abu Dhabi as a global aerospace hub, a cornerstone of the Emirate's economic diversification strategy, through long-term, capital intensive investments. The integrated approach to the aerospace sector encompasses comprehensive manufacturing through to Maintenance Repair Overhaul (MRO) services. Mubadala has entered into collaboration agreements with global aerospace and aviation companies to build a high tech, end-to-end technology and manufacturing base.[SUP][3][/SUP]
Assets

  • Sanad
  • STRATA[SUP][4][/SUP]
  • Advanced Military Maintenance Repair and Overhaul Centre (AMMROC)
  • Abu Dhabi Aircraft Technologies (ADAT)
  • Horizon International Flight Academy
  • SR Technics
  • Piaggio Aero SpA
Partners

  • EADS/Airbus
  • FACC
  • GE Engines[SUP][5][/SUP]
  • Boeing[SUP][6][/SUP]
  • IAE International Aero Engines[SUP][7][/SUP]
  • Abu Dhabi Aviation[SUP][8][/SUP]
Capital

Mubadala Capital serves as the primary vehicle for the company's financial investing activities. Their investment strategy is based on value investing principles. The company invests throughout the capital structure in a diversified portfolio of global public and private securities by capitalizing on market dislocations. The unit manages a number of existing Mubadala investments including public market investments in AMD and GE, along with private investments in the Carlyle Group and the Related Companies. They also manage Mubadala's fund investment activities.[SUP][9][/SUP]
Assets

  • GE
  • Advanced Micro Devices (AMD)
  • The Carlyle Group
  • Mubadala Infrastructure Partners
Energy

Mubadala Energy builds on Abu Dhabi's heritage in oil and gas to pursue opportunities that will meet the Emirate's current and future energy demands. The primary focus is on upstream oil and gas opportunities. The company has expanded in regions including MENA, Central and South East Asia and the Caspian Sea. Mubadala is also active in R&D in the renewable energy sector and in developing technologies that will facilitate the commercialization and widespread adoption of alternative energy sources.[SUP][10][/SUP]
Assets

  • Nursultan Block (N Block)
  • Dolphin Energy
  • Masdar
  • Petrofac Emirates
  • PSN Emirates
  • Libya (Block 103)
  • Mukhaizna (Block 53)
  • Habiba (Block 62)
  • Karawan (Block 54)
  • Pearl Energy
  • Tatweer Petroleum
Healthcare

Mubadala Healthcare is playing an important role in the creation of a private healthcare sector for the Emirate. They do so by establishing long-term partnerships with international medical institutions to build sustainable businesses, create regional capability, and stimulate the overall development of the sector. Their first priority has been to address the region's most pressing healthcare needs through the creation of specialist patient care facilities and ancillary services.[SUP][11][/SUP]
Assets

  • Abu Dhabi Knee & Sports Medicine Centre (ADKSMC)
  • Arzanah Wellness & Diagnostic Centre
  • Imperial College London Diabetes Centre (ICLDC)
  • Cleveland Clinic Abu Dhabi
  • Minhaal
  • Tawam Molecular Imaging Centre, Al Ain
  • National Reference Laboratory
  • Wooridul Spine Centre
Industry

Mubadala Industry pursues investment and development opportunities in those capital, energy or intellectual property-intensive sectors that can contribute to the wider diversification of Abu Dhabi's economy. They invest in the upstream and mid-stream metals and mining industry, with the objective of facilitating the creation of a cluster of metals-related businesses in Abu Dhabi. The company is also supporting a growing requirement regionally for the provision of utilities and support services.[SUP][12][/SUP]
Assets

  • Azaliya
  • Al Rusail Independent Power
  • Barka 2 Independent Water & Power Project
  • Hadjret En Nous Independent Power Project
  • Guinea Alumina Corporation
  • Tanqia Waste Water System
  • Tabreed (National Central Cooling Company PJSC)
  • Emirates Aluminium (EMAL)
Information and communications technology

Mubadala Information & Communications Technology (ICT) invests in and develops a portfolio of global ICT assets to bring industry-leading facilities to the region. They have structured themselves to develop new projects, while managing existing assets in the three core areas of IT and technology, telecoms and satellite communications. The company's goal is to establish a world-class cluster of ICT businesses in Abu Dhabi, creating employment opportunities and bringing expertise and knowledge to a sector that has been identified as important to the Emirate's economic diversification.[SUP][13][/SUP]
Assets

  • du - Emirates Integrated Communications
  • Etisalat Nigeria
  • Injazat Data Systems
  • Prodea Systems
  • Al Yah Satellite Communications Company (Yahsat)
Infrastructure

Mubadala Infrastructure is helping to deliver the supporting infrastructure essential to the economic transformation of the Emirate of Abu Dhabi. They achieve this by entering into Public Private Partnerships (PPPs) and by working with global partners. They finance, build, own and operate state-of-the-art facilities in the United Arab Emirates, with major assets that include the UAE University, Paris-Sorbonne University, New York University and Tawam Hospital. Their initiatives also allow for third party investment in other areas of infrastructure, such as transportation.[SUP][14][/SUP]
Assets

  • Paris-Sorbonne University Abu Dhabi
  • UAE University
  • Zayed University, Abu Dhabi
Real estate and hospitality

Mubadala Real Estate & Hospitality (MREH) develops strategic commercial, residential and leisure districts that are central to Abu Dhabi's long term development plans. These major projects are part of the Government's Plan Capital 2030. Key developments include Arzanah, a 1.4 million square meter residential and mixed-use community development; Sowwah Island, the heart of Abu Dhabi's new Central Business District; and the Mina Zayed Waterfront, a mixed-use leisure and entertainment district.[SUP][15][/SUP]
Assets

  • Sowwah Island
  • Sowwah Square
  • Rosewood Abu Dhabi
  • Four Seasons Hotel Abu Dhabi at Sowwah Island
  • Viceroy Abu Dhabi
  • Mina Zayed
  • Medini, Nusajaya, Malaysia
  • Viceroy Maldives
Partners

  • Capitala
  • John Buck International
  • Viceroy Hotel Group
  • PF Emirates
Services ventures

Mubadala Services Ventures develops and manages business in service-based industries which advance and support the diversification of the Abu Dhabi economy. They focus on financial services and leasing; defense (non-aerospace); maritime transportation; and integrated logistics.[SUP][16][/SUP]
Assets

  • Abu Dhabi Finance
  • Abu Dhabi Terminals
  • Agility Abu Dhabi
  • Al Taif Technical Services
  • Emirates Ship Investment Company (Eships)
  • Dunia Finance
  • LeasePlan Emirates
Board of directors

  • HH Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan – Chairman
  • Mohammed Ahmed Al Bowardi – Vice-Chairman
  • Hamad Al Hurr Al Suwaidi – Member
  • Nasser Ahmed Khalifa Alsowaidi – Member
  • Abdulhamid Mohammed Saeed – Member
  • Mahmoud Ibrahim Al Mahmoud – Member
  • Khaldoon Khalifa Al Mubarak – CEO and Managing Director

http://en.wikipedia.org/wiki/Mubadala_Development_Company

8E9U7806.jpg

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Naibu Waziri wa mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu(UAE) Mhe.Khalid Ghaanim Al Ghaith wakati yeye na ujumbe wake walipowasili kwa mazungumzoIkulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Mhe.Ghaith anashughulikia pia masuala ya uchumi.

8E9U7827.jpg

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na ujumbe kutoka Umoja wa Falme za kiarabu(UAE) unaongozwa na Naibu Waziri wa mambo ya nje wa Falme hizo mhe.Khalid Ghaanim Al Ghait (wapili kulia) wakati ujumbe huo ulipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro).

Tanzania inawakaribisha wawekezaji ambao wataisaidia nchi, kutafuta, kuwekeza na kuongeza thamani zaidi ya maliasili ya gesi na mafuta kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.

Rais Kikwete amesema hayo leo asubuhi Ikulu, katika mazungumzo yake na Mheshimiwa Khalid Ghaanim Al Ghaith , Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayeshughulikia mambo ya Uchumi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
"Tunawakaribisha wawekezaji kuja tusaidiane katika kutafuta mafuta na gesi, kwenye matumizi na hata kwenye kuwekeza katika viwanda ambavyo vitaongeza thamani zaidi kwa kutengeneza biadhaa zinazotokana na gesi." Rais amesema.
Naibu Waziri huyo amefuatana na wafanyabiashara wakubwa ambao wamekuja nchini kufanya mazungumzo na kuelezea nia yao ya kuwekeza hapa nchini.
Wafanya biashara hao wametoka Shirika la Nishati la Abu Dhabi (Abu Dhabi National Energy), Shirika la Maendeleo la Mubadala (Mubadala Development Company, Shirika la Mawasiliano la Etisalat (Etisalat Telecommunication) na kutoka Shirika la Ndege la Fly Dubai.
Wafanyabiashara hao pia wamefanya mazungumzo na maafisa wengine wa serikali katika wizara husika wakati huo huo Rais Kikwete leo amewaapisha Majaji wawili wa Mahakama ya Rufani na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama.
Majaji walioapishwa leo ni Jaji Semistoclis Simon Kaijage na Jaji Kipenka Msemembo Mussa, na Kamishana wa Tume ya Utumishi wa Mahakama ni Jaji Edward Mkandara Kakwezi Rutakangwa.
Wakati huo huo Rais Kikwete leo amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Vodacom group Bw. Peter Moyo na pia kuagana na Balozi Amour Zacarias Kupela wa Msumbiji ambaye anamaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini.
Katika mazungumzo yao, Rais Kikwete na Balozi Kupela wameelezea uhusiano maalum uliopo baina ya Tanzania na Msumbiji kuwa ni wa kihistoria na ambao umezifanya nchi mbili hizi kuwa ndugu.
Tanzania na Msumbiji zimekuwa mstari wa mbele katika mapambano ya Uhuru na Ukombozi wa nchi zilizo Kusini mwa Afrika kupitia vyama vya Frente De Libertacao de Mocambique (FRELIMO) na Tanganyika African National Union (TANU).
Rais Kikwete na Balozi Kupela pia wamefahamiana miaka mingi ambapo kwa pamoja walikuwemo kwenye jumuiya za vijana za vyama vyao (Youth League) TANU kwa Tanzania na FRELIMO kwa Msumbiji.
Katika kipindi hicho shughuli za ukombozi zilipewa umuhimu mkubwa kwamba ukipigania Msumbiji ni sawa na kuipigania Tanzania.
Tanzania, Chini ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, ilitoa mchango mkubwa katika kukijenga chama cha FRELIMOhadi kuwa Chama imara cha Ukombozi nchini Msumbiji na Kusini mwa Afrika kwa ujumla.

Imetolewa na Premi Kibanga,

Mwandishi wa Habari wa Rais, Msaidizi.

Ikulu,

DAR ES SALAAM

8 Juni, 2012

http://dewjiblog.com/2012/06/08/nai...elea-rais-kikwete-ikulu-jijini-dar-es-salaam/
 
Hujaleta details za kutosha za hiyo proposal. Issue siyo gross figure ya investment.
Je, ni uwekezaji wa sekta gani?
Je, nani atafaidika na kivipi?
Je, itakuwa na impact gani katika uchumi wetu?
Halafu nina mashaka na hiyo amount. USD 20 billion!? (At par or over how many years?)
Lete taarifa ya kutosha kabla ya watu hawajaanza kukosoa hayo maamuzi.
 
20 billion dollars under the leadership of this ruling part you can also buy the country including it's contents (People and natural resources!!)

20,000,000,000 (20 billion) $ x 1,600 (Exchange rate) = 32,000,000,000,000 TZS Meaning 32 trillion!! for what investment!! You are Kidding!!
 
Hujaleta details za kutosha za hiyo proposal. Issue siyo gross figure ya investment.
Je, ni uwekezaji wa sekta gani?
Je, nani atafaidika na kivipi?
Je, itakuwa na impact gani katika uchumi wetu?
Halafu nina mashaka na hiyo amount. USD 20 billion!? (At par or over how many years?)
Lete taarifa ya kutosha kabla ya watu hawajaanza kukosoa hayo maamuzi.
Nadhani na Proposal yenyewe ilikuwa dull hivi hivi! Anawekeza kwenye Uchumi Tanzania. To see thesnail's eyes, you must be patient, tusbiri labda atafunguka!
 
Investment ya USD 20bn kwa mwaka? Only a fool anaweza kukaa chini na kusoma proposal ya kitapeli kiasi hicho. Kama kweli Prof Muhongo amewatimulia mbali basi nitamheshimu sana.

GDP ya Tanzania ni USD 23bn, anakuja mwarabu na kusema atawekeza almost amount sawa na uchumi kwa mwaka mmoja? Hivi mleta hoja unajua huu utapeli wa kiarabu?
 
Je Mheshimiwa JK unayo habari kuwa kuna mwekezaji (serikali ya UAE) alikuja Tanzania miezi 2 iliyopita na kuahidi angewekeza kwenye uchumi wa Tanzania dola bilioni 20 kwa mwaka kwenye miradi ya maendeleo na uchumi Tanzania kwa sharti la kutaka proposal yake ipitiwe lakini kilchotokea ni kuwa waziri SOSPETER MUHOGO aliwatimua na aligoma hata kujibu proposals walizokuja nazo hawa watu

Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue alishapatiwa taarifa lakini kuna habari kuwa barua za malalamishi hazijafika kwa bosi wake...yaani JK.

Kuna watu wanajaribu kuizima hii habari lakini hii ndio Tanzania, nchi ya kufikirika ambayo wananchi wanafichwa na hawaambiwi kinachoendelea

Hivi mnajua 20 billion USD ni sawa na trilioni ngapi za Tanzania?

halafu tunatafuta mchawi

cha ajabu Zitto Kabwe ambaye ni waziri kivuli anajua hii habari lakini naye hakusema kitu bungeni zaidi ya kulalamika pembeni

Mkuu mbona hivyo? Mbona hujajiuliza kwa nini kafukuzwa? Labda alikuwa anawekeza Bil 20 yeye achukue Bil. 50? kwa maana nyingine angewekeza Bil. 30 negative!
 
Mkuu mbona hivyo? Mbona hujajiuliza kwa nini kafukuzwa? Labda alikuwa anawekeza Bil 20 yeye achukue Bil. 50? kwa maana nyingine angewekeza Bil. 30 negative!

aliposikia USD 20 Bl tu akalegea akataka kuachia nanihiii. just for number?, hata mimi naweza nikaandika proposal ikawa na figure kama hiyo, but can the figure translate into real output?
 
dogo hiyo ni karibu sawa na trillion 35 (TShs) & tz economy wealth around 60 Trillions (2010/11), hiyo proposal jamaa alitaka kuinunua mikoa 15 ya tz na kuanzisha nchi mpya na yeye kuwa rais.
mbaya zaidi unasema ni uwekezaji wa nishati/madini (very st.upid) hizi ni story zenu za madrasa
 
Je Mheshimiwa JK unayo habari kuwa kuna mwekezaji (serikali ya UAE) alikuja Tanzania miezi 2 iliyopita na kuahidi angewekeza kwenye uchumi wa Tanzania dola bilioni 20 kwa mwaka kwenye miradi ya maendeleo na uchumi Tanzania kwa sharti la kutaka proposal yake ipitiwe lakini kilchotokea ni kuwa waziri SOSPETER MUHOGO aliwatimua na aligoma hata kujibu proposals walizokuja nazo hawa watu

Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue alishapatiwa taarifa lakini kuna habari kuwa barua za malalamishi hazijafika kwa bosi wake...yaani JK.

Kuna watu wanajaribu kuizima hii habari lakini hii ndio Tanzania, nchi ya kufikirika ambayo wananchi wanafichwa na hawaambiwi kinachoendelea

Hivi mnajua 20 billion USD ni sawa na trilioni ngapi za Tanzania?

halafu tunatafuta mchawi

cha ajabu Zitto Kabwe ambaye ni waziri kivuli anajua hii habari lakini naye hakusema kitu bungeni zaidi ya kulalamika pembeni

hajakataliwa bure huyoo .unajuaje amegundua project zao ni kama tanpower .au richmond ?
 
Inaonyesha we kilichokuuma ni kusikia hizo bilioni. Nadhani ni mikakati kina mkulo ya kumchafua huyu waziri mpya. Acheni watu wapige kazi bana!
 
Je Mheshimiwa JK unayo habari kuwa kuna mwekezaji (serikali ya UAE) alikuja Tanzania miezi 2 iliyopita na kuahidi angewekeza kwenye uchumi wa Tanzania dola bilioni 20 kwa mwaka kwenye miradi ya maendeleo na uchumi Tanzania kwa sharti la kutaka proposal yake ipitiwe lakini kilchotokea ni kuwa waziri SOSPETER MUHOGO aliwatimua na aligoma hata kujibu proposals walizokuja nazo hawa watu

Angalau unaonyesha Muhongo aliziona hata hizo proposals ndio akawatimua. Akija mwekezaji anayetaka ajenge barabara zote nchini azimiliki binafsi na ana mtaji wa kutosha kufanya hivyo utakubali kwa kuwa tu analetea hela na maendeleo?

Hujaona wahindi walivyotufanya kitu kibaya na TRC, nao si walituonyesha hela?

Hawa wawekezaji wa kiarabu usiwaamini sana, wanakuja na hidden agenda nyingi sana. Waliwapa tende babu zetu kuamka asubuhi wakajikuta walishakuwa watumwa!
 
Siwezi comment unless mleta mada aweke hadharani alitaka wekeza kwenye nini and for how long!
Prof najua ni timamu ingekuwa dili ya maana asingeikataa more comments to come when you give us the full details of what prevailled!
 
labda walikua wanataka kununua nchi yetu. ndo maana waziri akaona noma. maana tanzania mawaziri wanapenda sana cash.
 
Headless! Wimbi la mbele kajipange urudi maana hufai hata kuitwa umande muchell wimbi la mbele!
 
hii habari nishawahi kuisikia lakini kuwa ZITTO KABWE anaijua ni jipya kwangu

lakini sishangai sana. Tanzania ya leo si ndio watu wamezima mitambo ya umeme ili nchi ikae kizani ?

sasa mnashangaa nini?

nchi hii hata kesho aje malaika waamue kuigeuza kuwa uswisi for nothing in return watu watawatimua

Tanzania ya RICHMOND na EPA anything can happen so kwenye hii mada I will keep an open mind
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom