Siasa kama mpira unatumia kosa la mwenzio una wini,ndicho kinachofanya ccm wanaweweseka mda wooote na kutumia media na propaganda nyingi.....sa hata ndani ya chama wapo wanaoshindana kwa kuangalia nani kafanya kosa na wanakosoana kwa kutafuta credit
...ametumia nafasi yake kama msemaji mkuu wa serikali bungeni..(pinda yuko korea).na pia kama mbunge mzee zaidi bungeni..amemsifia JK(Nyerere) kwa kuchukua uamuzi mgumu wa kutuletea uhuru..amani..muungano na hata kutaka muungano wa africa mashariki..! siyo kama uamuzi mgumu wa siku hizi wa 10% na mikataba ya kitoto na mibovu..!(kumbuka Mh Lowassa ndiye aliyelianzisha la uamuzi mgumu..na pia ndiye aliyeachia ngazi kwa mkataba mbovu na wakitoto)... siasa bana..ukipata nafasi itumie maana hujui mwenzio atakuja na lipi.!