nrongalema
Member
- Apr 11, 2011
- 48
- 5
Hatimaye mh. Samweli sitta amemjibu lowassa kuhusu uamuzi mgumu...''uamuzi mgumu wenye 10% siyo uamuzi mgumu.!
Hatimaye mh. Samweli sitta amemjibu lowassa kuhusu uamuzi mgumu...''uamuzi mgumu wenye 10% siyo uamuzi mgumu.!
Dadavua kidogo ueleweke! umeandika kifupi mno!Hatimaye mh. Samweli sitta amemjibu lowassa kuhusu uamuzi mgumu...''uamuzi mgumu wenye 10% siyo uamuzi mgumu.!
Hatimaye mh. Samweli sitta amemjibu lowassa kuhusu uamuzi mgumu...''uamuzi mgumu wenye 10% siyo uamuzi mgumu.!
Hatimaye mh. Samweli sitta amemjibu lowassa kuhusu uamuzi mgumu...''uamuzi mgumu wenye 10% siyo uamuzi mgumu.!
Kweli Siasa zinaitaji Ngozi ngumu pia Moyo mgumu!!nimemuona mkuu kweli lakuvunda halina ubani.Maskini lowasa wenzie hataafanyaje ndo basi tena! Kikwete amesha mtumia kama pedi haitajiki tena.Ajiachie siasa.

Hapa sina uhakika nani ni pedi kati ya Lowassa na Sitta. Mtumiaji anaeleweka ni Kikwete. Na mtumiaji hana uchaguzi wa pedi. Akiwa na shida ni lazima atumie pedi iliyo karibu. Wakati ule wa nchi ikiwa kwenye giza, Pedi alikuwa Lowassa. Sasa nchi iko gizani, Pedi ni Sitta. Kuna wakati pedi lilikuwa kundi la Lowassa ndani ya NEC likimsulubu Sitta. Ni makosa makubwa kumwamini Kikwete katika habari ya kutumiwa kama pedi. Kila mtu ana zamu yake ya kutumiwa. Kinachohitajika ni pedi zenyewe kujipanga vema, ili Kikwete akizitumia zimletee mwasho mapajani!

Nawasilisha
nimemuona mkuu kweli lakuvunda halina ubani.Maskini lowasa wenzie hataafanyaje ndo basi tena! Kikwete amesha mtumia kama pedi haitajiki tena.Ajiachie siasa.
Katika hali isiyokua ya kawaida Waziri wa Afrika Mashariki mh Samuel Sitta
Amesema maamuzi magumu yanakwenda na uadilifu. Sio 10 pc, mikataba mibovu na kitoto.
Duhhivi sasa ni sasaba mchana tukale wale dashi chuoni sijui tukakae wapi