Waziri Sitta amlipua Lowassa Bungeni

daah inamana 6 ameamua kutuambia kuwa lowassa ni kweli alihusika na shutuma zote zinazomkabili hatimaye kupelekea kujiuzuluu?
 
ilikuwaje akajibu mapigo, yule si waziri na kaimu waziri mkuu!? inakuwaje anachangia hoja?au aliamua kuja kujibu mapigo ya mbaya wake
 
Unafiki mtupu!! Bado serikali imeshindwa kuchukua 'maamuzi magumu' dhidi ya hao walioingia mikataba mibovu kwa sababu wooote walishirikiana na kikwete kuiibia nchi. Watanganyika tungependa kina Sitta na mawaziri wenzake wanaposimama watwambie kwa nini serikali yao IMESHINDWA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU ya kuwakamata wale wote walioiingiza nchi yetu mkenge. Siyo kutumia 'mabaki" ya rasilimali za nchi hii kutupiana vijembe bungeni.
 
nadhani baanda ya kauli hiyo wabunge wa ccm walipiga makofi kama kawaida yao......lakini pia huwa simwamini sita na kwa lile kosa la kuupotezea mjadala wa richmond sitamsamehe........ni mtu wa ajabu na mnafiki mkubwa
 
Nyie wote hamjamuelewa Lowassa anaposema maamuzi magumu, kwamba serikali imeshindwa kuwakata Majambazi yalikwapua pesa za EPA, Merereta, Kagoda, Richmond na Rada kama Serikali inaubavu ichukuwe maamuzi magumu ya kuwakata siyo kushangilia Ujinga Bugeni
 
ilikuwaje akajibu mapigo, yule si waziri na kaimu waziri mkuu!? inakuwaje anachangia hoja?au aliamua kuja kujibu mapigo ya mbaya wake

inawezekana hii kitu imepangwa kitaalam sana, hata kukaimu uwaziri mkuu kuna kitu nyuma ya dirisha, looh!!
 
No one is perfect, lakini kwenye mizani ya nani alifaa kwenye nafasi ya Uwaziri mkuu (kwa changamoto za sasa) kati ya Pinda na Sitta naweza kusema SITTA angefaa zaidi. Walau anaweza kukuangalia machoni akasema yaliyo rohoni mwake, Pinda is a 'thoerist' with no real sense of the challenges on the ground. Na atawaletea shida ccm na serikali unless abadilishe approach. Jambo linalonisumbua kuhusu Pinda ni hili:

1. Kwa nini au kulikuwa na logic gani kwake yeye kupanda ndege kwenda kwenye jimbo la Magufuli na kumkataza 'kusimamia' sheria (bomoabomoa), alishindwa nini kufanya hivyo hapa Dar es Salaam? Why was it important kutoa hilo tangazo Kagera wakati sehemu yenye mabango mengi ni Dar es Salaam?
 
Ananafasi ya kukutana na jk any tym au akishindwa amtumie sms
Nyie wote hamjamuelewa Lowassa anaposema maamuzi magumu, kwamba serikali imeshindwa kuwakata Majambazi yalikwapua pesa za EPA, Merereta, Kagoda, Richmond na Rada kama Serikali inaubavu ichukuwe maamuzi magumu ya kuwakata siyo kushangilia Ujinga Bugeni
 
Unafiki mtupu!! Bado serikali imeshindwa kuchukua 'maamuzi magumu' dhidi ya hao walioingia mikataba mibovu kwa sababu wooote walishirikiana na kikwete kuiibia nchi. Watanganyika tungependa kina Sitta na mawaziri wenzake wanaposimama watwambie kwa nini serikali yao IMESHINDWA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU ya kuwakamata wale wote walioiingiza nchi yetu mkenge. Siyo kutumia 'mabaki" yj rasilimali za nchi hii kutupiana vijembe bungeni.
 
six hana jipya.walishamchakachua siku nyingi.kama ishu ya chenge na rada kaikaushia hajaizungumzia hadi sasa,pamoja na mccj mwenzake mwakyembe.ccm noma,time wiil tell,wapi mama ana kilango na ufisadi!
 
Katika hali isiyokua ya kawaida Waziri wa Afrika Mashariki mh Samuel Sitta amesema anawashangaa watu wanaosema serikali imeshindwa kuchukua maamuzi magumu ni wao wenyewe ambao wameiingiza serikali katika Mikataba mibovu inayotesa wananchi mpaka sasa,Sitta ameyasema hayo wakati akichangia mjadala wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Mazingira + Muungano,hii inaonesha Sitta alikua akimjibu Lowassa ambae ametanabaisha serikali ya Jk haichukui maamuzi magumu,wama Jf nawasilisha kwenu

Angalau mkubwa umefafanua. Wenzio wametoa kiduchu mno na wengine tuko mbali na runinga. Ahsante mkuu.
 
lowassa ni kama chumvi iliyoharibika...nashangaa hadi sasa serikali na chma chake havijachukua hatua zozote dhidi yake...

Sitta amepasua jipu ambalo litamfanya huyu msafisha nyota ajue kwamba watu siyo mabwege. Kwa kweli mguu wenye kidonda hiki kinachoitwa Lowassa ukikatwa, mgonjwa wetu atapata nafuu ya hali ya juu.
 
hivi ile wiki yake ya kuwa kiongozi wa shuguli za serekali bungeni iliisha? au ndo anamalizia kiaina?

sita noma. nilijua tu lazima ataacha headlines na sijui kama atapewa tena hiyo nafasi, lakini meseji senti

And delivered too!
 
hili saga mweisho wake ni 2015 kunye kura za maoni ya kupendekeza jina la urai kupitia ccm, lowasa Vs sita bado wapo wakina mwandosya sumaye mwinyi mdogo na membe kazi ipo
 
...ametumia nafasi yake kama msemaji mkuu wa serikali bungeni..(pinda yuko korea).na pia kama mbunge mzee zaidi bungeni..amemsifia JK(Nyerere) kwa kuchukua uamuzi mgumu wa kutuletea uhuru..amani..muungano na hata kutaka muungano wa africa mashariki..! siyo kama uamuzi mgumu wa siku hizi wa 10% na mikataba ya kitoto na mibovu..!(kumbuka Mh Lowassa ndiye aliyelianzisha la uamuzi mgumu..na pia ndiye aliyeachia ngazi kwa mkataba mbovu na wakitoto)... siasa bana..ukipata nafasi itumie maana hujui mwenzio atakuja na lipi.!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom