Waziri Selemani Jafo: Shule za umma zimeboreshwa sana, shule nyingi za binafsi zitashindwa kujiendesha na kufa

The Stig SHULE YA MAANA INA MAANA GAN? JAFO KASEMA WANABORESHA SHULE KUZIPIKU HZO UNAZOITA SHULE ZA MAANA. NDO MANA NIMESEMA, NTAAMIN KMA WATOTO WAO WATASOMA HZO ZA UMMA.. VIONGOZ WOTE HAWA ENZ ZA NYERERE WAMESOMA SHULE ZA UMMA UJUE.. KIPINDI HKO ELIMU ILIPEWA KIPAUMBELE

Basi jiandae kusubiri sana.
 
Back
Top Bottom