FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 93,125
- 109,561
wewe hamisha tu magoli, mimi nio dgaza leo, ikifika zamu ya lebanon ntakuja kukupa darsa la huko.vita vilivyoharibu Lebanon, vilikuwa vya PLO waliokaribishwa kama wakimbizi, na ndio waliochinja wenyeji waliowapokea. dunia nzima inajua hilo. wapalestina wanavuna damu za wakristo wa lebanon walizomwaga.