12 October 2023
Marrakech, Morocco
Waziri wa nchi fedha na mipango wa Zanzibar Mh. Saada Mkuya Salum aikaribisha IDA
View: https://m.youtube.com/watch?v=dthlTxsLjFw
December 2023 Benki ya Dunia kupitia taasisi yake ya IDA International Development Association inayohusika kusaidia nchi masikini zaidi itakutana mjini Zanzibar kupitia ripoti ya matokeo ya nusu mwaka .
Tanzania ipo katika njia ya kuhakikisha Chakula cha kutosha kinapatikana, miundo-mbinu, afya elimu huku pia kuwapatia ujuzi raia wake ambao wengi ni umri kati ya miaka 15 - 35 kuweza kujiajiri katika nyanja nyingi rasmi kama kilimo cha kisasa, uvuvi, ufugaji na biashara.
Zanzibar pia nchi yenye idadi ya watu milioni mbili imelenga kunufaika na Uchumi wa buluu, kilimo cha mwani wa baharini kama moja ya shughuli muhimu pamoja na zao la karafuu.
Sera za uchumi na fedha Tanzania zinalenga pia kumwinua mwanamke kwa kumshirikisha kiuchumi, elimu na katika kushiriki ndani ya ngazi za maamuzi.
Source : World Bank

Marrakesh, MoroccoPoverty Alleviation, Women’s Empowerment and Education: Saada Salum, Zanzibar’s Minister of Finance
Zanzibar, Tanzania, has made strides in women’s empowerment and education. Within the framework of the 2023 Annual Meetings, Saada Salum, the Minister of State for Finance and Planning, speaks about how the island achieved these successes and it’s preparations to host the International Development Association (IDA) 20 Mid-term review.Source : World Bank