Waziri Saada Salum Mkuya: Tanzania Kupunguza umasikini, kushirikisha kinamama na elimu ya kujiajiri

vita vilivyoharibu Lebanon, vilikuwa vya PLO waliokaribishwa kama wakimbizi, na ndio waliochinja wenyeji waliowapokea. dunia nzima inajua hilo. wapalestina wanavuna damu za wakristo wa lebanon walizomwaga.
wewe hamisha tu magoli, mimi nio dgaza leo, ikifika zamu ya lebanon ntakuja kukupa darsa la huko.
 
kuhusu Gaza, hakuna ubishi kwamba Hamas wamechokoza nyuki sasa wanalialia.
Msiwazingie Hamas, hiyo ni kutokana na maonezi ya wayahudi kwa miaka 70 kwa Wapalestina, kama ni vita ni Wapalestina na wayahudi. Unafikiri hao hamasa ni nani? Kama ulikuwa huelewi soma uelewe, ni wanamgambo walioanzishwa kwa nguvu ya myahudi.
 
nakupa mwezi mmoja tu, uje tujadili issue za hamas kama bado watakuwa hai. manake sasaivi wameshaanza kulialia maji yamekatwa, mafuta hakuna majenereta yao hayana mafuta wanashindwa kuchaji simu ili waturushie clip za video wakirukaruka kama mashujaa kumbe mashujaa kwenye makaratasi tu, chakula hakuna, silaha ndio zinaenda zikiisha huko kwenye mahandaki na umeme umekatwa mazima. hao wataokotwa kama panya.
 
12 October 2023
Marrakech, Morocco

Waziri wa nchi fedha na mipango wa Zanzibar Mh. Saada Mkuya Salum aikaribisha IDA

View: https://m.youtube.com/watch?v=dthlTxsLjFw
December 2023 Benki ya Dunia kupitia taasisi yake ya IDA International Development Association inayohusika kusaidia nchi masikini zaidi itakutana mjini Zanzibar kupitia ripoti ya matokeo ya nusu mwaka .

Tanzania ipo katika njia ya kuhakikisha Chakula cha kutosha kinapatikana, miundo-mbinu, afya elimu huku pia kuwapatia ujuzi raia wake ambao wengi ni umri kati ya miaka 15 - 35 kuweza kujiajiri katika nyanja nyingi rasmi kama kilimo cha kisasa, uvuvi, ufugaji na biashara.

Zanzibar pia nchi yenye idadi ya watu milioni mbili imelenga kunufaika na Uchumi wa buluu, kilimo cha mwani wa baharini kama moja ya shughuli muhimu pamoja na zao la karafuu.

Sera za uchumi na fedha Tanzania zinalenga pia kumwinua mwanamke kwa kumshirikisha kiuchumi, elimu na katika kushiriki ndani ya ngazi za maamuzi.

12 October 2023​

Marrakesh, Morocco

Poverty Alleviation, Women’s Empowerment and Education: Saada Salum, Zanzibar’s Minister of Finance

Zanzibar, Tanzania, has made strides in women’s empowerment and education. Within the framework of the 2023 Annual Meetings, Saada Salum, the Minister of State for Finance and Planning, speaks about how the island achieved these successes and it’s preparations to host the International Development Association (IDA) 20 Mid-term review.
Source : World Bank

Siku hizi huyu ndio anamuwakilisha waziri wa fedha wa muungano hadi kwenye mazungumzo ya mawaziri wa fedha huko WB , kwa sababu tuna waziri wa fedha asiye na uwezo..
hii ni Pamoja na kuwa kisheria Mkuya Hana mamlaka ya kuwakilisha waziri wa muungano kwa sababu hajaapa kulinda katiba ya muungano Bali ya Zanzibar …anaweza kufikia makubaliano yakapingwa
 
Huyu kilaza anawakilishaje Tanzania. Waziri wa fedha wa Zanzibar anawakilishaje Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Kuna tatizo gani?. Mara ngapi Dr. Mwinyi anamuwakilisha rais Samia nje ya nchi?. Kila Mzanzibari pia ni Mtanzania na ana haki zote za Utanzania!.
P

Ila mtanganyika ndio Hana haki?. Rais wa Zanzibar kwenye Muungano ana hadhi sawa na Waziri, inakuwaje aiwakilishe Nchi Kama mkuu wa nchi?. Huu Muungano wa kijinga.
 
Siku hizi huyu ndio anamuwakilisha waziri wa fedha wa muungano hadi kwenye mazungumzo ya mawaziri wa fedha huko WB , kwa sababu tuna waziri wa fedha asiye na uwezo..
hii ni Pamoja na kuwa kisheria Mkuya Hana mamlaka ya kuwakilisha waziri wa muungano kwa sababu hajaapa kulinda katiba ya muungano Bali ya Zanzibar …anaweza kufikia makubaliano yakapingwa

Nashangaa kwanini wanafanya hivyo.
 
kufikia makubaliano yakapingwa

Baadhi ya nchi zinaendeshwa kisultani, rais akisha sema basi katiba na sheria huwekwa pembeni kufuatana na katiba na mazoea ya kisultani ambayo hayajaaandikwa.

Hakuna bunge la sasa linaloweza kuhoji wala chomno cha habari kuwa na mjadala mpana wa mazoea haya au raia kuomba ufafanuzi katika mhimili wa mahakana maana kuna vitu vilivyo juu ya katiba iliyoandikwa
 
Back
Top Bottom