Waziri Mwakyembe: Msanii anayetaka kuzungumzia siasa, akagombee ubunge au udiwani

Kyembe na Ph D yake bado hajafanikiwa, anajitapa kuwasaidia wanasanaa? Hivi kyembe anamjua ICE T na cop killer, anawajua Ice Cube, Dr. Dre from NWA. he needs to go to heck
 
Nyimbo au mziki ni njia muhimu na rahisi kufikisha ujumbe kwa jamii. Kwa nini kulikuwa na Vijana Jazz, JKT na akina Kibisa na nyimbo zao zilihusu nini. Kumbuka nyimbo za akina Patric Balisidya waliimba nini kama siyo ukombozi na je hiyo si siasa? Sikiliza nyimbo za lucky Dube, Mirium Makeba na mme wake msouth Masekela waliimba nini na kama si wao dunia ingejuaje udharimu wa makaburu? Tusiwe na double standard. Kwanini wageni wakija mnawaita wanamziki kutumbuiza?
 
Huyu mzee sasa anakoelekea siko, nashauri mh Rais ampumzishe tu,maana kishakuwa mzigo sasa kwa serikali.
Hii kitu mbona simple sana:
Kazi ya fasihi ni
1.Kuelimisha(Kuonya,kukosoa,kusifia,n.k)
2.Kuburudisha
Cha msingi, msisitizo uwe
ktk matumizi bora ya lugha.
Mwakyembe utateleza mpaka lini mheshimiwa?
Endelea tu,safari ijayo utapangiwa kazi
nyingine.
Unless, jitahidi uwe mbunifu wa mambo yenye manufaa.
 
Ajui kuwa wao ndio wanasababisha yote... give people what they want first nobody atakudistrub musicians hutujotoa mhanga kwa ajili ya wengi kazi anayotakiwa afanye mwanasiasa lakini amesaliti na kuangusha watu... kukimbia kivuli chake
 
Waziri wetu lazima ajue mafanikio ya kweli sio kua na kiasi kikubwa cha pesa...a legacy is the true success ndo maana ameweza mkumbuka fella na so wasanii wengine rip fella a real legend V.I.P (vagabonds in power)
 
Iv amesahau hata wasanii walichangia kupatikana kwa uhuru baazi ya mataifa.Mimi binafsi huna napata mashaka Sana Kama ipo siku tz tunaweza piga hatua kwa uongozi huu.
 
Yuko sahihi kwa sababu hata Komba (RIP) alikufa kwa sababu ya madeni na alianza kufilisiwa Mali zake. Hicho chama alichokisaidia kupata ushindi KILIMTUPA bila kumsaidia namna ya kulipa madeni. Halafu chama hicho hicho kilikuwa mstari wa mbele kufanikisha mazishi na kutoa pole.
 
Huyu jamaa kilaza kweli Fela alikuwa mwanaume wa kweli uoga wa kuongea alikuwa hana ndo maana mpaka Leo tunamsikia.
 
Taifa linazidi kukosa watu makini sijui tumekosea wapi

Kuiacha CCM ibaki madarakani ndiyo dhambi kubwa kuliko zote duniani.
1494563241730.jpg
 
Mwakyembe huyu katoa pumba sana, na ikibidi ni vizuri Raisi akamwita Ikulu wakaliongelea tamko hilo. Kazi ya usanii ni kutoa reflection ya jamii; kwa hiyo wanaweza kuimba au kuigiza jambo lolote katika jamii mradi tu jambo hilo ni sahihi au linatoa burudani kwa jamii husika.
 
Ukiwa kibaraka wa mtu ni mbaya sana coz utakuwa huwa Uhuru wa kuamua,kufikiri na kasema kwa Uhuru na haki Bali utasema utayafanya mambo yote kwa ajili ya kumridhisha mtu,huyu waziri ana uchu na tamaa ya madaraka na kama sivyo basi anaogopa kuachia ngazi ili kuendelea kuficha madudu aliyowahi yafanya au anayofanya.
 
Nadhani sisi wananchi ndio wenye matatizo na hasa ni pale tunaendelea kuamini huyu mzee ni mzima kiakili
 
Bob Marley kwenye nyimbo zake za harakati za mapinduzi na siasa.
Aligombea udiwani kata gani huko kwao?
 
Shida kweli.........najaribu kufikiria Watoto wa huyu Mzee wanaishi maisha gani huko mtaani.......hivi huyu Mzee hanaga aibu?

Shida kweli.........najaribu kufikiria Watoto wa huyu Mzee wanaishi maisha gani huko mtaani.......hivi huyu Mzee hanaga aibu?

Watoto wake wanaishi maisha safi sana...wanasoma shule za gharama,wanakula vizuri na kulala vizuri,hawawazi shida na kuishi maisha ya kiumbea umbea kama wewe...Wasanii kuitukana au kuikosoa govment ni marufuku...wao sio wabunge.
 
Msanii ni kioo cha jamii. Jamii inamambo mengi ambayo yanaizunguka ikiwemo siasa. Msanii anafurahisha na kuelimisha{kufundisha}
1}Je siasa si sehemu ya maisha ya jamii?
2} Wanasiasa ni malaika kiasi kwamba yote wayafanyayo ni sahii na wanajua kila kitu hawahitaji kukosolewa wala kufundishwa?
Hii yote ni tabia iliyo jengeka kwa viongozi wa kisiasa na hasa bara letu hili la mtu akisha kuwa kiongozi yeyote wa kiserikali haijalishi elimu yake basi kwa nafasi aliyo nayo anajiona walioko chini yake wote hawajui kitu isipokuwa yeye tu.
 
Ina maana ile bendi ya TOT na nyimbo zile za "wataipenda wenyewe" siyo muziki? Nawaza tu. Something must be wrong in Mwakyembe's upstairs
 
wasomi wa nchi hii ni aibu kwa kwenda mbele, Magu anajaza wasomi kwenye serikali yake kwa kuamini kuwa watakuwa na msaada kumbe wakishapata uteuzi vyeti vyao huvitunza kabatini na kutumia uelewa wa kusoma na kuandika tu, pengine bila kuhesabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom