Waziri mkuu awachambua CHADEMA; Lema amtuhumu kudanganya

Mwisho utafika tu, Pinda kala kiapo ndani ya CCM, ndo maana siku zote wanaficha ukweli kwa wananchi eti wasije kuanguka chini. Lakini mwisho wao unafika.
Pole sana Pinda kwa kulishwa sumu. tulizani mbwa, kumbe mbwamwitu
 
Pinda kajiingiza mwenyewe kingi hatoki, ole wao wafanye makosa kuihandle hii kitu.Leo nimeona pia channel ten yule jamaa wa propaganda wa cuf (mtatiro) wananchi walivyomchenjia kwenye simu, konfo lote ziro. wanajitahidi kueneza upupu wanafikiri watanzania waleo ni kama wa juzi.
 
Kuna mwanazuoni mmoja alisema ili dunia iweze kuwa mpya lazima kutokee magonjwa makubwa yapunguze baadhi ya watu au mafuriko ili dunia mpya iwepo na watu wapya, sasa kwa Tanzania hakutakuwa na maendeleo mapya bila kuondoka kizazi cha sasa chenye miaka 45 na kuendela yafaa wapatwe na majanga kama magonjwa au vita, ajali wakafa wote ndio kutakuwa na tanzania mpya yenye mabadiliko.Hvi vizee bado na sii rahisi kuvibadili mawazo mapya wao wanalindana kama vile hawafi....yaaaaniii napata hasira ngekuwa na uwezo kama Hitler wangekoma.
 
nilshasema na narudia kusema tena, anachokiweza pinda ni kulia mbele ya camera 2! Vingne vyote ni maagzo tka kw mkubw wake. Ananikera sn huyu baba! Mnafik sn.
Du! Ebana una akili sana huyo bana hmn llt,akibanwa analia ili watu tumwonee huruma kumbe si lolote.
 
namuuliza PINDA,Jee mtu akiandamana hukumu yake kifo?jee hao waliouliwa angekuepo mke wake,mtoto wake angejibu hivyo bungeni?
 
Kama ni mtazamo wako ungekaa nao na ndugu zako, 2015 kwa kuiba sawa ila kwa haki Chama cha Mafisadi kupipa msahau yaani mwisho wenu umefika.

hizo zako nindoto za mchana za alinacha ila jipe moyo ila chadema kutawala nakuongoza nchi hii msahau milele chadema haitoweza kushinda uchaguzi na kuongoza taifa hili,hata hao chadema wenyewe wanalijua hilo,msinichukie huu ni mtazamo wangu.
 
Ni kweli chadema ndio chanzo cha mauaji yale mnabisha nini????! Pinda kasema kweli. Mbona chadema wasiende mahakamani kama taratibu zilikiukwa?

analytical leaders always cause blunders plus bloodshed!
 
Crap!

Mkuu kama wewe ni miongoni mwa wale walio kwenye payroll ya CCM kwa ajili ya kutumika kuja humu kwenye mitandao kuwaondoa watu katika hoja za kitaifa, sawa endelea hivyo na unayo sifa ya kuwa hivyo, ila kama wewe ni miongoni mwa watu kama mimi tunaonunuwa umeme wa sh elfu kumi na kuambuli unit 20 kwh, kulipa ada ya mtoto ni shughuli pevu, ninamuomba mungu kama magonjwa basi niwe napata ugonjwa wa maleria na kuhara tu, maana kama nikipata ugonjwa utakaohitaji gharama ya sh laki tano Kutibiwa basi hapo ndio mwisho wa maisha yangu, sentensi hii ndio maisha halisi ya Wantanzania asliimia 90%, sasa basi kama na wewe upo kwenye category hii kuishabikia CCM ni sawa na kwamba wewe ni mfu ingali upo hai. mimi niko tayari kuiunga mkono CCM kama itawapa wananchi maisha bora iliyowaahidi, lakini imekuwa kinyume chake, kwa sababu hiyo nina kila sababu ya kukisapoti chama mbadala ninachoamini kinaamanisha kinachosema. wewe endelea na kejeri zako lakini mimi nakuhakikishia kama litatokea sharti la kupiga kura kati ya kuchaguwa CCM au kuchaguo kifo, mimi nitachaguwa kifo. PERIOD.
 
Kauli, usemi, lafudhi, uongeaji wa haraka haraka wa Pinda, huhitaji kuambiwa na mtu mwingine kuwa Pinda ni sampuli ya watu wanaopendelea umbea umbea hivi. hiyo tuhuma aliyoitoa ni kama kaiokota bar hivi.

Ni aibu kwa waziri mkuu kutumia mimbari ya Bunge na kutoa habari za kimbea namna hiyo zisizo na facts zozote. He should come up with hard facts!!

RED BOLD ITALIC: Hivi chama cha siasa kinaweza kuunda chama? au tuseme CCM kama chama wameweza kuunda chama cha mafisadi ndani ya ccm?.

Blue: kati ya uamuzi wa Lema na umbea wa Pinda, nani kaonyesha ukomavu?

Asante kwa uchambuzi mzuri. Kumlinganisha Pinda na Lema sio fair, Pinda yuko chini sana.....anyway kwa swali lako Lema ndiye mkomavu.
 
jamani nahisi kuna tatizo la intepretation kwa watz including spika.Alichouliza lema kwa spika ni kuhusu muongozo iwapo waziri mkuu atagundulika amesema uongo,..na si kwamba waziri mkuu ni muongo..mbunge we2 wa ubungo alijaribu kumuweka sawa spika,lakini kama kawaida yake jazba nyingi hakutaka kumuelewa..
 
wewe kweli Bulldozzer, Join Date : 18th January 2011Posts : 59
Thanks 0Thanked 7 Times in 6 PostsRep Power : 21
Huna uwezo wa kubishana na sie.

Ni kweli chadema ndio chanzo cha mauaji yale mnabisha nini????! Pinda kasema kweli. Mbona chadema wasiende mahakamani kama taratibu zilikiukwa?

analytical leaders always cause blunders plus bloodshed!
 
WAPIGANAJI HESHIMA KWENU!

Hivi nani alitarajia kwamba Mh. Pinda atatoa taarifa ya kuinanga serikali anayoiongoza? Hivi nani alitarajia kwamba Mh. Pinda ataeleza ukweli wa kilichojiri kwenye tukio lile la mauaji ya Arusha? Kama kawaida ya serikali hii, kila jambo hulitolea taarifa za kujikanganya. Baada ya mauaji yale ya Arusha, Mh. Nahodha alilitangazia taifa kwamba lipo tatizo la msingi ambalo ni la kisiasa na lazima lijadiliwe na kutolewa ufumbuzi. Na si vyema kwa sasa kutafuta nani kafanya nini ili kuangalia chanzo cha tatizo lilijiri. Je, ina maana Mh. pinda tayari ameshaelezwa chanzo ni CHADEMA? Na kama ndivyo, mbona taarifa hizo hazijatolewa kwa umma wa watanzania? Au nazo ni taarifa za kile kinachoitwa "INTELIJENSIA?"
Tukio hili limetolewa taarifa na viongozi wawili (Mh. Pinda na Mh. Nahodha) na taarifa zote mbili zikitofautiana.
Jinai ni jinai tu, haijalishi eti uvunjifu wa amani ndiyo iwe sababu ya kuuwa watu? Tena wananchi wasiokuwa na silaha za moto! Lakini kwa wanaoelewa maana ya uongozi wa KIDIKTETA basi watakubaliana nami kwamba sasa ndipo mahali tulipofikishwa na serikali hii iliyopo madarakani. Na historia inatufundisha kwamba, udikteta unatumika tu pale serikali inayoongoza nchi inaposhindwa kutekeleza kile ilicho ahidi wakati inatwaa madaraka, na hivyo kuona dalili za kukataliwa na wananchi. Ndipo mahali tulipo sasa.

Siku chache zilizopita tumetangaziwa kwamba serikali imekusanya mapato zaidi ya malengo, kuwa na akiba kubwa ya fedha za kigeni kiasi ambacho hakija wahi kutokea na vile vile kuwa na akiba kubwa tu ya fedha za ndani. Ni juzu tu tayari kapu la kuomba misaada ya kifedha kutoka nchi za nje linaanza kupitishwa, sasa tumwamini nani?

Mwezi uliyopita tulitangaziwa kwamba taifa lina akiba kubwa sana ya chakula na hivyo wanaotaka kuuza mazao ya chakula nje ya nchi ruksa. Leo hii serikali inatangaza hatari ya njaa na kuorodhesha mikoa ambayo ipo hatarini kukumbwa na uhaba wa chakula (ingawa kwangu nasema njaa ilikwesha vamia siku nyingi maeneo hayo). Tusitegemee ukweli wowote ili hali serikali imeshaona dalili za kuchukiwa na wananchi na hasa wazalendo.
Kinacho tumika sasa ni nguvu ya dola.
 
Ni kweli chadema ndio chanzo cha mauaji yale mnabisha nini????! Pinda kasema kweli. Mbona chadema wasiende mahakamani kama taratibu zilikiukwa?

analytical leaders always cause blunders plus bloodshed!

Hivi turudie kujadili ukweli wa mauaji ya arusha mpaka lini?

1. Kuandamana ni haki ya kila raia,Polisi hulinda tu maandamano si kuzuia.
2. Watu waliouawa walipigwa risasi maeneo tofauti tofauti na mbali kabisa na kituo cha polisi, kwa hiyo hakuna cha kujitetea kuwa walikuwa wanataka kuvamia kituo cha polisi.
3. Serikali inawajibu wa kulinda raia wake wote bila kujali tofauti za kiitikadi.
 
For those who did not know the detail of the one the Mwalimu strongest state security persons "PINDA MIZENGO KAYANZA" has been the powerhouse behind TISS sabotage of 2010 october elections. Hivyo huyo ni babu wa KUCHAKACHUA matokeo ya urais.
Mtaelewa mengi na stahili yake ya kutoa machozi ya mamba akitaka kudhibitiwa.
He is a devil incarnation.
 
Mkumbuke kwamba wabunge wengi ni ccm na alichokisema WM ndo walichokuwa wanakitaka. So hata kama Lema atakuja na taarifa ya kuthibitisha kwamba kilichosemwa ni uongo, hakitaungwa mkono NDANI YA BUNGE na sitashangaa sana yakimkuta yaliyokuta Zitto.
 
Dawa pekee kwa CCM kujinasua ni kuwa wakweli katika matukio kama ya Arusha. Siasa za ghiliba haziwezi wasaidia hata kidogo. Tanzania kama zilivyo nchi zingine duniani inapita katika kipindi cha mabadiliko ya vizazi, na kizazi kipya chenye kuchukua nafasi yake kina uelewa mkubwa kuliko cha wazee, ie the Pinda na wenzake.

CCM na serikali yake wakabiliane na wimbi hili kwa ustaarabu na sio mabavu kwani hawataweza kulizuia, mabadiliko ni lazima na hiyo ni kanuni tu ya maisha.

Pinda angekiri udhaifu wa serikali katika kulishughulikia suala la Arusha angeheshimika zaidi kuliko anavyofanya sasa.
 
Kweli mafisadi ni watu wabaya sana. Nami nasema hatutaogopa kusema ukweli...

Ccm wamejipanga uuwa upinzani ila sasa wakati wao umefika... Watakufa tu..

Chedema wajipange pinda mtoto wa mkulima hatakuwa na chake 2015
 
Nashindwa kuelewa inakuwaje amejibu swala ambalo liko mahakamani, hivi juzi tu tumeambiwa kuwa dowans haiwezi kuzungumziwa bungeni kwa sababu swala liko mahakamani, hapa nashindwa kuelewa...
 
Back
Top Bottom