Hahahahahahaaaaa! Lameck (Mb) Ryorya darasa la saba. Alafu hao wasomi unaowakata wewe ndiyo wamekuwa mafisadi wa kupindukia!!!!!!!!!!!!, hawana huruma na watanzania hata kidogo.sijashangaa kabisa nilijua siku moja haya yatatokea,ndo mana napendekeza ktk katiba mpya kwenye sifa za mbunge kiongezwe kifungu cha elimu isiwe japo degree 1,ili kuepusha kila mtanzania,mwenye miaka 18,anayejua kusoma na kuandika anaweza kuwa mbunge mwisho tunapata form 2 km lema.

Nimefuatilia kile ambacho Waziri Mkuu Mh Pinda, alikisema jana bungeni, alisema kuwa kwa aliambiwa kuwa Chadema ndo walikuwa chanzo cha vurugu zilizotokea Arusha ,

pia akaendelea kuwalaumu Chadema kuwa kama wanataka kuaminika waache siasa za vurugu, aliendelea kusema kuwa (Mh Lema alikuwa ni mtu wa vurugu ingawa hakumtaja kwa jina, Kwa uelewa wangu, kitendo cha kutoa taarifa za kuambiwa bungeni, ni sawa na kutoa taarifa ambazo ni hear say, kwanza madai hayo haya jathibitishwa na Mahakama,ambayo viongozi wa Chadema akiwemo Lema wameshitakiwa ..Sasa wana jamvi hasa wanasheria wanalichukuliaje suala hili

Nionavyo mimi PM kakosea au alifanya makusudi ikizingatiwa kuwa alitoa au kuelezea tarifa Bungeni ambazo zilikuwa za kuambiwa (huenda siyo RASIMI). pia kitendo chake cha kuwaambia CDM kuwa wanahusika na vurugu, pia kwa kusema ili waaminike waache siasa za vurugu, hii ni kuwa hukumu wakati ni Mahakama pekee yenye kuweza kutoa hukumu, inashangaza ni vipi aliweza kuongelea taarifa ambazo kesi iko mahakamani,

acha matusi na kejeli, naona kama unayaonea wivu mawazo yangu kudhihirika ni ya kweli na narudia Lowasa ni zaidi ya Pinda kiubora regardless ya ufisadi wake kwani PINDA ni fisadi kwa kuwa ana authority za kuwawajibisha mafisadi na hataki kufanya hivyo kwa 25% anazorushiwaga.Mizengo pinda ndio waziri mkuu mpaka 2015 kama upendi saga chupa ubwie. Edward Lowasa anastahili kuwepo kwenye jumba la makumbusho. PERIOD.
hapo ktk Red ni kweli kabisa lema aliuliza scenario so anaweza asiotoe proof,ila lile swali lilikuwa la kumchokonoa spika,naye akaingia ktk mtego,leo amebadili ameweza hata kumtetea Mh wenje wakati wa kuongeza ktk hoja .Kama unalosema ni kweli , basi nimeelewa kwa nini Sita alimwambia huyu spika wetu Mama Makinda kuwa asikurupuke katika kujadili hoja ya Richmond wakati ule. Hapa Lema hajatamka kuwa waziri mkuu analidanganya bunge, bali anataka kujua cha kufanya iwapo hypothetically waziri mkuu analidanganya bunge. Spika alitakiwa awe na subira ajibu swali aliloulizwa, yaani amwelekeze Lema hatua ya kufanya iwapo Waziri mkuu amelidanganya bunge. Sasa iwapo Lema angelitekeleza hatua hiyo, ndipo spika angeweza kudai proof. Kwa hivi sasa anadai proof ya jambo hypothetical, Lema anaweza kukataa tu kuwa hana proof kwa vile hajasema kuwa waziri mkuu kadanganya bunge.
Katika kipindi cha maswali kwa Waziri mkuu leo asubuhi Mh. Waziri mkuu amesimulia kilichojiri katika mauaji ya Arusha na kwa mujibu wa maelezo yake yameonesha kuituhumu CHADEMA kuwa ni chanzo cha mauaji ya raia kwenye maandamano, amesema kuwa Mh. Godbless Lema ni mtu wa fujo fujo hivi na alianzisha fujo kwenye kikao cha pili cha baraza la madiwani halmashauri ya Arusha.

Mwisho Mh. Pinda kawashauri CHADEMA kuunda chama kitakachoaminiwa na wananchi kuongoza taifa hili chama chenye kuleta amani.

Wakati huo huo Mh. Godbless Lema alitumia mwongozo wa Spika kumtuhumu Mh. Waziri mkuu kuwa kalidanganya bunge.