Hata tusiponufaika si madini hayaishi kama mikate ile ya yesu (mitano wakala watu 1000!!!!na kusaza) kwi kwi kwi he he he te te kweli kuna hamnazo wengiKweli unaweza kuwambia wananchi kwa akili za kawaida kuwa Nchi inafaidika na Madini yake?
Alishindwa kuibeba CHADEMA kule KITETO kwasababu watu walikuwa wamebeba pesa.Pamoja na kushangaliwa kote huko mbona alishindwa kuibeba CHADEMA kiteto?
Pamoja na kushangaliwa kote huko mbona alishindwa kuibeba CHADEMA kiteto?
kuzomewa kwa masha kunaweza kuwa ni ishara ya wazi kuwa tabaka kubwa la wasomi wa tanzania hawana imani na ccm.
sio kweli wasomi wanaifagilia ccm sana tu na angalia ni jinsi gani ccm ilivyojikita vyuoni
Kuzomewa kwa Masha kunaweza kuwa kwa aina mbili.
1.Kwanza kwasababu ya Mzee wake Dr. Masha ambaye ni WMalimu hapo SAUT.nilishawahi kuwa hapo na huyu mzee anaongoza kwa kukamata wanafunzi wa hapao na kutoa maksi za chini.hii inawezekana wanafunzi hawampendi na wakiona mtu yeyote ambaye ana jina la Masha wanaweza kumshambulia.#
2.pili,ni kutokobalika kwa chama cha Mapinduzi kwa baadhi ya wanafunzi,sababu ya wanafunzi kukosa mikopo na sababu nyingine za hapa na pale.
Gembe rudia kusoma na usitafute nafasi ya kukwepa hili .Baada ya kusema Serikali iko wazi ndipo akaanza kuzomewa.Yaani baada ya hilo tamko tu basi akazomewa na si wakati mwingine wowote .Naomba rudi usome tafadhali .
Waziri azomewa na wasomi
2008-03-17 08:55:43
Na Juma Ng\'oko, PST, Mwanza
Waziri wa Mambo ya Ndani, Bw. Lawrence Masha, ameonja joto ya jiwe baada ya kuzomewa na baadhi ya wahadhiri pamoja na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT) cha jijini Mwanza.
Ok kumbe alizomewa "aliposema" kwa hiyo pengine angekaa kimya asingezomewa. On a serious note, yeye asingeanza kupinga kauli za mheshimiwa Zitto, kama mwanasiasa alitakiwa kuelekeza nguvu zake kwenye kuonyesha mazuri au jitihada ambazo serikali inafanya kurekebisha hali hiyo, ie. kusisitiza kuwa kamati zinaundwa kuchunguza mikataba, serikali imelipa suala hili kipaumbele n.k. Aidha angejikita zaidi kuongelea kilimo, uvuvi, maliasili maadam ndivyo vilivyokuwa vinajadiliwa kwenye kongamano hilo.Waziri Masha alizomewa hadharani kwenye mjadala aliposema serikali iko wazi katika kutangaza masuala mbalimbali yahusuyo madini.
Hii kejeli kama sio matusi, mikataba yenyewe siri hata wabunge kuiona bila songombingo haiwezekani(hajui hilo au labda mwenzetu ana special priviledge anaiona na kuisoma tofauti na wabunge wengine?) sembuse raia wa kawaida kuisikia redioni, au kuisoma magazetini?Alisema Watanzania wasioelewa kuhusiana na mikataba hiyo ya madini ni wale wenye uelewa mdogo na ama hawasomi magazeti au hawasikilizi redio.
Sasa mpaka exact time aliyozomewa (nimeona pia exact time aliyoingia Zito imeandikwa) sioni mantiki yake zaidi ya ushabiki wa mwandishi tu!PST ilikuwepo na ilishuhudia Bw. Masha akizomewa mchana saa 7:52 wakati akijaribu kufafanua mada hiyo.
Je mheshimiwa waziri alitoa ufafanuzi gani juu ya hilo au aliwaacha wananchi (aliodai wana upeo mdogo, wasiosoma magazeti wala kusikiliza redio) waendelee kuamini hivyo?Mbunge huyo alisema kuwa karibu Watanzania wote wanaamini kwamba pato la taifa kutokana na sekta ya madini ni asilimia tatu kwa mwaka lakini bila kuwa na ufafanuzi wowote.
Waliomzomea siyo wanafunzi peke yako, baadhi wahadhiri pia walimzomea, Mkuu Gembe, sijui baba Dr. Masha anakamata wahadhiri vilevile hapo SAUT au...?
Ok kumbe alizomewa "aliposema" kwa hiyo pengine angekaa kimya asingezomewa. On a serious note, yeye asingeanza kupinga kauli za mheshimiwa Zitto, kama mwanasiasa alitakiwa kuelekeza nguvu zake kwenye kuonyesha mazuri au jitihada ambazo serikali inafanya kurekebisha hali hiyo, ie. kusisitiza kuwa kamati zinaundwa kuchunguza mikataba, serikali imelipa suala hili kipaumbele n.k. Aidha angejikita zaidi kuongelea kilimo, uvuvi, maliasili maadam ndivyo vilivyokuwa vinajadiliwa kwenye kongamano hilo.
Hii kejeli kama sio matusi, mikataba yenyewe siri hata wabunge kuiona bila songombingo haiwezekani(hajui hilo au labda mwenzetu ana special priviledge anaiona na kuisoma tofauti na wabunge wengine?) sembuse raia wa kawaida kuisikia redioni, au kuisoma magazetini?
Hapo mheshimiwa naona alijisahau alidhani yuko Marekani alikokulia ambako access na information ni ya kumwaga ukilinganisha na Tanzania.
Sasa mpaka exact time aliyozomewa (nimeona pia exact time aliyoingia Zito imeandikwa) sioni mantiki yake zaidi ya ushabiki wa mwandishi tu!
Je mheshimiwa waziri alitoa ufafanuzi gani juu ya hilo au aliwaacha wananchi (aliodai wana upeo mdogo, wasiosoma magazeti wala kusikiliza redio) waendelee kuamini hivyo?
Ikiwa kauli za mheshimiwa waziri Masha zimenukuliwa kwa usahihi, basi kazi kwelikweli!
Mimi nasema hivi hii report nzima imeandikwa kichizi! yaani sielewi kitu kabisa... kwanza soma hapa:-
Waziri Masha alizomewa hadharani kwenye mjadala aliposema serikali iko wazi katika kutangaza masuala mbalimbali yahusuyo madini.
Alisema Watanzania wasioelewa kuhusiana na mikataba hiyo ya madini ni wale wenye uelewa mdogo na ama hawasomi magazeti au hawasikilizi redio.
Kisha soma kilichofuatia:-
``Kama nilivyotangulia kusema, Mheshimiwa Kabwe ni rafiki yangu. Ila ninachotaka kusema ni kwamba siyo kweli kwamba watu hawasomi magazeti na hawasikilizi redio wakati serikali inapokuwa inatangaza masuala mbalimbali yanayohusu mikataba,`` alisema Bw. Masha na kuanza kuzomewa.
Nimetoka mtupu!..
Wako wapi akina FMES na Kadampinzani jamani??
Mbona watu wanasema ukweli kuhusu masha na hawa jamaa hawaweki lao neno? Unataka kuniambia hawajaiona hii thread au?
Nimeuliza hivi kwa sababu walimtetea sana huyu masha siku za karibuni, wakidai the Guy is smart kwa sababu ni msomi, na vingine walivyovieleza wao
sasa leo wako wapi??
Mteteeni tena leo
Kuzomewa kwa Masha kunaweza kuwa kwa aina mbili.
1.Kwanza kwasababu ya Mzee wake Dr. Masha ambaye ni WMalimu hapo SAUT.nilishawahi kuwa hapo na huyu mzee anaongoza kwa kukamata wanafunzi wa hapao na kutoa maksi za chini.hii inawezekana wanafunzi hawampendi na wakiona mtu yeyote ambaye ana jina la Masha wanaweza kumshambulia.#
2.pili,ni kutokobalika kwa chama cha Mapinduzi kwa baadhi ya wanafunzi,sababu ya wanafunzi kukosa mikopo na sababu nyingine za hapa na pale.