Hussein Abdallah
Member
- Nov 1, 2006
- 73
- 9
Wako wapi akina FMES na Kadampinzani jamani??
Mbona watu wanasema ukweli kuhusu masha na hawa jamaa hawaweki lao neno? Unataka kuniambia hawajaiona hii thread au?
Nimeuliza hivi kwa sababu walimtetea sana huyu masha siku za karibuni, wakidai the Guy is smart kwa sababu ni msomi, na vingine walivyovieleza wao
sasa leo wako wapi??
Mteteeni tena leo
Achana na ES ana kamtandao kake na yeye hutetea mrija wake then anajifanya mtetezi wa Taifa hana lolote msomeni vyema mtagundua na kama mmesha gundua basi mwangakieni kwa makini.Ukimgusa alipo na maslahi ata spin hadi anazeeka lakini sasa hoja imemshinda hii na kijana wake smart aliyekuwa anamtukuza .