Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,968
- 955
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Songea Vijijini Mhe. Jenista Mhagama amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani 19 Machi, 2021 - 19 Machi, 2023
Mhe. Jenista Mhagama amesema ndani ya Miaka Miwili Madarakani Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametekeleza Ilani ya CCM 2020-2025 katika Jimbo la Peramiho, Songea Vijijini kwa viwango vikubwa.
✅ MRADI UJENZI WA BARABARA
Shilingi Milioni Mia Tano (500,000,000/=) Fedha za Jimbo mwaka 2022-2023 zimewezesha Ufunguzi wa Barabara Kata ya Kizuka mpaka Kata ya Muhukuru karibu na mpaka wa Msumbiji
✅ MRADI UJENZI KITUO CHA AFYA
1. Shilingi Milioni Mia Tano (500,000,000/=) mwaka 2022-2023 zimetolewa kujenga Kituo cha Afya Kata ya Kilangano. Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imetekeleza.
2. Shilingi Milioni 50,000,000/= zimetolewa na Serikali kujenga Zahanati ya Mpangula Kata ya Matimira. Zahanati ilizinduliwa na Mbunge wa Peramiho Mhe. Jenista Joakim Mhagama tarehe 11 Julai, 2022.
✅ MRADI WA MAJI
1. Katika kumtua Mama Ndoo kichwani, Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha Shilingi Milioni 507,452,596/= Kijiji cha Magagura Kata ya Magagura Jimbo la Peramiho kwa ajili ya kutekeleza mradi wa Maji ambao ulikaguliwa mwezi Agosti 2022 na Mhe. Jenista Mhagama.
2. Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepeleka Shilingi Milioni 734,744,190.39/= mwaka 2022 kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa Maji safi na salama Kijiji cha Lipokela Kata ya Mbinga, Mhalule. Mbunge wa Peramiho, Mhe. Jenista Mhagama alifanya ziara kukagua na kukuta mradi umefikia asilimia 95.
3. Shilingi Milioni 332,386,657/= zilitolewa kwa ajili ya Mradi wa Maji Kijiji cha Ndongosi Kata ya Ndongosi ambapo mradi umefikia asilimia 100. Mbunge wa Peramiho Mhe. Jenista Mhagama alizindua matumizi ya Maji Safi na salama kwa Wananchi tarehe 12 Julai, 2022.
4. Shilingi Bilioni 1,336,625,870/= zilitolewa kwa ajili ya ujenzi wa Mradi wa Maji Vijiji vya Matimira A, Mpangula na Matimira B katika Kata ya Matimira. Mhe. Jenista Mhagama alizindua mradi tarehe 08 Julai, 2022.
✅ MRADI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI
1. Shilingi Milioni 470,000,000/= ilitolewa mwaka 2021 na Shilingi Milioni 130,000,000/= ilitolewa mwaka 2022 kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Sekondari Kizuka iliyopo Kata ya Kizuka. Mhe. Jenista Mhagama alikagua maendeleo ya ujenzi huo tarehe 14 Machi, 2022.
2. Shilingi Milioni 40,000,000/= zimetolewa na Serikali Kuu kujenga Madarasa Mawili yanayojengwa katika Kata ya Ndongosi ambapo Mhe. Jenista Mhagama alitembelea tarehe 12 Julai, 2022 na kukuta ujenzi umekamilika.
✅ MRADI WA MIKOPO 10%- WAMAMA, VIJANA & WALEMAVU
Mikopo ya 10% kwa akina Mama, Vijana na Wenye Walemavu imetolewa kikamilifu ili kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi na Serikali. Mhe. Jenista Mhagama alitembelea Wajasiriamali katika Kijiji cha Mpitimbi Kata ya Mpitimbi tarehe 16 Julai, 2022 kutekeleza Maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan.
✅ MRADI WA FEDHA ZA TASAF
Shilingi Milioni 155,613, wa 178.58/= zilitolewa kwa ajili ya ujenzi wa Soko la kisasa la Peramiho lililopo Kata ya Peramiho, Kijiji cha Peramiho Jimbo la Peramiho kupitia fedha za mfuko wa TASAF.
#KaziIendelee
#PeramihoYetu
#JenistaMhagama