Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

😳😳Mnataka kuweka rekodi?
kimasehesabu inawezekana kabisa.. mie mwenye ningeenda chini hapo kuna kipande niliona wakuda wanapeana ishara, nikapunguza mwendo maeneo ya mlandizi, trafic saa nane za usiku 😂😂😂.. ila bila hao nililuwa naingia dom town kwa masaa manne au kasoro.. mwendo wangu ulikuwa 160, 140 nimepungua 120 na ilikuwa natembea nacho mda mrefu.. nilipofika Kongwa sahani ikajaaaa hadi chamwino 😀😀
 
Wewe mzoefu....njia unaijua nje ndani
 
Back
Top Bottom