Wazazi,ndugu hawamtaki,na yeye hataki kuelewa,ushauri wako unahitajika sana hapa!!

kaka humu kunamichaga itakuponda achana nayo wewe fuata ndugu zako hakuna kitu kibaya kama kulazimisha alafu yaje yakutokee puani utanyamba fuata maelekezo dem mchane live asipoteze mda atafute mchaga mwenzake tafuta kabila jingine kaka utapata wanamaproblem hao kwanini wao kwa wao hawaoani jiulize
 
Nashawishika kuamini kuwa ulimwambia kistaarabu kuhusu kutowezekana kwa ndoa yenu na sasa unamuonea huruma anavyotaabika.Ni hivi, huwezi kushindana na hali hiyo, ni lazima aumie tena sana lakini baadae atazoea.NATAMANI ungeliona hili tangu wakati mahusiano yenu bado machanga kuliko kummwaga wakati alishajua kuwa ni wako jumla.Hivyo kwake kuumia ni lazima.
 
Je bint anatabia kama za hao wake wa ndugu zako.? Obvious ulipomtafuta uliona anafaa.. Si kila mchaga yupo ivyo, kila kabila na watu wake wana udhaifu take care usije ukajuta baadae ishi na mtu unayempenda. Great thinker hawawezi kukupa jinsi ya kumwacha m2 unayempenda ila unaendeshwa na ndugu,
 
Among watu walioongea vitu vya maaana na msingi ni pa1 na wewe mkuu
unajua hapa jamvini si kwamba watu hawafahamu reality ya hii ishu,wanafahamu sana sana ila tu,wanaamua kuleta ushabiki wa kipuuzi na kuendekeza mapenzi ya kizungu wakati sisi ni waafrika na tuna mila na desturi zetu tunazopaswa kuzifuata na kuheshimu,
hata ktk amri 10 za mungu,kuna amri inatutaka kuwaheshimu wazazi

he! kwani muda wote huo ulikuwa hujui kama ni mchaga bwana! hizo sababu za msingi unazosema na wewe umekubaliana nazo ulikuwa hujazijua! mimi ningekuwa huyo binti ningemshukuru Mungu kwa kuniepusha kuwa na wewe. Na ipo siku utamjutia huyo shauri yako!
 
mwache bana! Hata mimi wachaga kwa ndoa hapana! Labda kustarehe.huo ndio ukweli.

wapo wanaofaa mkuu,ila kuna wengine dah! Nasikia wa rombo hawako hivyo inavyofahamika. Hii niliambiwa na rafiki yangu wa huko enzi hizo nilikuwa na mtoto wa kichaga.
 
usiwe mkali ndugu yangu umeomba ushauri .kwa hiyo ni wajibu wako kusikiliza ushauri haijalishi unauma au laaah .hata mimi nina matatizo kama hayo ila kwangu ni mwanamke ndio anashindwa kujua aende mwelekeo gani wazazi wake wanamueleza hawezi kuishi na mimi na huku anataka kuishi na mimi .kibaya kwangu au kizuri nilisha zaa nae mtoto mmoja .nilicho mwambia mimi siwezi kuwasikiliza wazazi wako wanasema nini kuhusu ndoa yetu maana tumesha ishi pamoja zaidi ya mwaka na ni kamwambia pia hata kama ingekuwa wazazi wangu ndio hawakutaki au wananikataza kuishi na wewe nisinge wakubalia kwani pia imeandikwa (UTAACHANA NA WAZAZI WAKO NA UTAAMBATANA NA MKEO,MUMEO MTAELEKEA HUKOOOOOO .mtajua wenyewe ni wapi .Wazazi wana nafasi yao ila si kukuchagulia yupi wa kuishi nae .Hayo ni maisha yako Brother
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom