LINGANISHA ZEC Na NEC, Jinsi Ambavyo WAJUMBE Wake Wanavyopatikana, Ambao Ni Shirikishi!!! WKT Wa NEC Woote WANATEULIWA Na RAIS Tu, Tena Wengine Ni Makada Wa CHAMA Anachotokea RAIS Huyo!!! JE, Hapo Hauoni Huo Uhuru Wake!!?? NDIO Maana Yale Mambo Ya Kuchakachua 2015 Yamekuwa Magumu!!! MATOKEO Yake Wamelazimisha Kufutwa Matokeo Ya UCHAGUZI Ule!!!!Maalim Seif alituambia kwa sasa wana Tume huru ya uchaguzi. Inabidi tumuulize, kwa nini wanalalamika wakati walituambia hiyo ni tume huru ya uchaguzi?
By the way, Porojo ambazo sio za kisenge ni zipi?
Nielimishe!