MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,976
- Thread starter
- #101
Hoja yako imekosa nguzo ya hoja mbadala!HIVI Dhumuni La Kuweka Huu UZI Hapa!!!? KWANI Mleta UZI Haujui Kuwa Ni KWELI VIONGOZI Kutoka BARA Ndio Chanzo Cha Mitifuano Kule Visiwani!!!!?? WW Kwa Fikra Zako CCM ZANZIBAR Wanaweza Kuamua Au Kufanya Maamuzi Yoyote Bila Ya CCM Bara Na Taifa Kuridhia!!?? JUU Ya KATIBA Yao Kuifanyia Marekebisho Hiyo Ni Haki Yao Kikatiba, Kwani Zanzibar Ni Nchi, Na Hawakukubali Kuufuta Uzanzibar Na Utaifa Wao!! Hivyo Kufanya Marekebisho Yao Ya Kuunda Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa, Si Lazima Ww Wa BARA KUTOA MAONI YAKO!! Wazanzibar Wenyewe NDIO WALIOTAKIWA Kutoa MAONI Yao, Kama WANAKUBALI Au WANAKATAA!! PIA Suala La TUME Huru Ya UCHAGUZI, Ni Suala Zuri La Kulipongeza, Kwani Kwa Muundo Wa Tume Hiyo Ndio Ule Mchezo Mchafu Uliyokuwa Ukidaiwa Kufanyika Na Upande Fulani Umeshindwa Kufanyika 2015!! MATOKEO Yake Wamemtumia Jecha Kufuta MATOKEO Yaliokamilika!!! HIVYO Hilo Kwao Ni Suala Muhimu Na La Kupongezwa!! HUKU BARA Mbona Tumeshindwa Kupata, TUME Walau Hiyo Unayoiponda!!!! SIDHANI Kama Ni UNAFIKI Na UNDUMILAKUWILI!! Bali Ni Moja Ya Hatua Nzuri Ya Kujenga Umoja Wao!! TATIZO Ni WABARA, Ndio Wanaoivuruga Zanzibar, Na Wenyewe Wameshalijua Hilo!!!!
Unapongeza tume hapo hapo unalaamu!
Unasema Wazanzibari hawahitaji msaada wa Watanzania Bara hapo hapo unasema hakuna suala wanalolifanya bila kushirikiana na Bara.
Kama waliunda tume huru ya Uchaguzi, kwa nini kwa sasa wanarumbana kuhusu maamuzi ya tume yao huru ya uchaguzi?
Hoja yako ni mwendelezo wa yale yale ya vyetu ni vyenu wakati wa matatizo lakini wakati wa raha, vyetu ni vyetu.