Wawi kuandamana kesho kupongeza maamuzi ya CUF

Nakukumbusha kuwa . Kardinali Pengo aliwaasa na kuwaeleza kuwa Maandamano sio njia sahihi ya kudai haki zenu. Ndio maana Chadema wame stop. wanangoja agizo lingine kutoka vatican.



Barubaru?! huyu Kadinali Pengo ndio yule mkuu wa VAtican kanda ya TAnzania anaelalama kuwa ametajwa kwenye list ya wauza madawa ya kulevya? au mwengine?
 
Taarifa nilizopokea sasa hivi ni kuwa Kiwanja cha Mpira Vumba umati umefurika na Mh Waziri wa Afya Znz Juma Duni Hadji ndio ameingia uwanjani na wakti wowote ataanza kuunguruma.

Kwa maelezo zaidi mpigie Cholo +255 77 413 966 yupo uwanja wa Vumba kwa maelezo zaidi
 
Mkuu ni kweli? Mbona siku zote CUF wanaandamana siku ya Ijumaa?

Kaka wewe ni mgeni maeneo haya! wana mambo yao wanayomaanisha ila itakuwa ngumu kutimia mkuu:tongue:
:tongue:
A%20S%20embarassed.gif
 
Back
Top Bottom