Wawakilishi wa tanzania katika b.b.a mwaka huu.

Serikali inapangia watu safari za nje, kazi wanazofanya na vipindi vya TV wanavyoangalia?

Mie siifagilii Big Brother, it is nonsensical. Lakini sifagilii zaidi ukomunisti huu wa serikali kupangia watu maisha yao.

Mkuu, mimi binafsi sina tatizo na watanzania kushiriki kwenye huu ujinga lakini nipo against na suala la mshiriki kubeba bendera ya taifa. Mshiriki akiisha beba bendera ya taifa, maana yake anawakilisha taifa. Sitaki kukumbuka aibu aliyetuletea yule mkurya last year.

Tiba
 
Nchimbi na wenzako Huo Ufisadi mnaofanya hamuuoni. Hebu tutokeeni.
 
Hawa ni washiriki wa big brother africa kutoka tanzania.kwa nini wanakwenda kushiriki wakati serikali kupitia waziri nchimbi ilitamka kuwa haiungi mkono mashindano hayo?

nchimbi badala ya kushughulikia wizara yake, na ufisadi walio nao, anahangaika na big brother?? angezuia michezo michafu ua uwanja wa fisi kwanza.
 
Kushiriki wenyewe binafsi sawa ila wasitumie jina la Tanzania.

we ndugu acha unafiki, kuna michezo mingapi watu hukaa uchi wakiwa na bendera yetu na hamsemi! meona big brother tu?? tena umenikumbusha ngoja nikavote kwanza kwa hilda, then nitarudi. tooooo much stress, waache watu wajiburudishe na big bro lolest!
 
weekend ndio inaanza leo eeeh, ngoja nikapumzike mie nisubiri CC ya Magamba
 

kwa iyo hii bendera walioyoshika ni ya familia yao???

Ni bendera ya Taifa, lakini hakuna Kiongozi yeyote aliyewakabidhi wakati wanaondoka nchini. Imeshuhudia michezo ambayo inatambuliwa na Serikali wachezaji wake wakikabidhiwa bendera ya Taifa na Kiongozi mwenye dhamana na mchezo huo na kuwatakia kila la heri; Je, hawa walikabidhiwa hiyo bendera na Kiongozi gani wa huko Tanzania ?
 
attachment.php
 
Watanzania tunaishi maisha tofauti-tofauti, watu wamejitangaza kwenye status zao kuwa wanaishi hedonist life, waache wajiachie. Mbona kuna watu mnaenda hija, Mecca na Israel, na wengine wanaenda kuosha majina kwa TB Joshua watu hawasemi. Waache watu waoshe majina yao kwenye runinga ndio maisha yao hayo. Sidhani kama Dstv wanalazimisha kuangalia, kama vile mimi nisivyoangalia TV ya TB Joshua, au Mahubiri ya Kabobe, kama hakihusu you just skip.

kweli dunia yako chaguo lako.
 
Mtu mgeni kabisa na tanzania anaweza kufikiri idadi kubwa ya watanzania ni machotara au nacho ni kigezo kwa dstv tanzania mwisho,richard, yule mdada wa arusha, hawa wa sasa
 
BBA sio umalaya ni hulka ya mtu kama watu walioko katika jamii yetu inayotuzunguka cha zaidi watu wanaenda kuwakilisha Tz nakujua tamaduni za nchi nyingine
BBA sio kuhusu ngono wala kujiuza its just a game kama mchezo mingine kama serikali haijaibariki kimpango wao kuna matatizo mengi ebu tuongee kuhusu hayo ok! tuachane na hilo coz sio tatizo
 
Mtu mgeni kabisa na tanzania anaweza kufikiri idadi kubwa ya watanzania ni machotara au nacho ni kigezo kwa dstv tanzania mwisho,richard, yule mdada wa arusha, hawa wa sasa

Hivi walioenda sasa hivi nao ni 0.5?. Mimi naona weupe tu. Ila in average most cases Tanzanians phenotype huwezi kufanisha na Ugandans, Kenyans, Zambians au Malawians. Kwa wengine tuliowahi ishi na majirani zetu kama Waganda hilo hata wao wanadmit kabisa, wenzetu ni weusi jamani
 
Mtu mgeni kabisa na tanzania anaweza kufikiri idadi kubwa ya watanzania ni machotara au nacho ni kigezo kwa dstv tanzania mwisho,richard, yule mdada wa arusha, hawa wa sasa


Latoya na Bhoke mbona huwasem, au nao walikuwa 0.5?
 
Back
Top Bottom