Wauza smartphone tukutane hapa

ni mlolongo wa na toleo ya smartphone za samsung ziko njema mno waweza ingia mtandaoni ukapata full version

1433752039342.jpg
1433752051404.jpg

cc: Jerrymsigwa
 
Last edited by a moderator:
Nauza huawei y530 135,000_ na Nina Sony xperia Z1 nauza 480,000 ina charge
 
bei hiyo ulinunua mwaka gani hata wakati zinatoka hazikuwa bei hiyo.
anyways the price might be resonable depending on the usage duration.
ina muda gani toka itoke dukani?

Mkuu huawei y530 ina 2month na experia z1 ina 4month old
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom