mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,731
Samsung Galaxy Note 3 in conditions inataka 550kSamsung Galaxy Note 5 ikiwa na hali nzuri kwa 950k unabeba..
Cont::0715242454
Location: :Mbeya town
Cont::0715 242454
Location: :Mbeya
Samsung Galaxy Note 3 in conditions inataka 550kSamsung Galaxy Note 5 ikiwa na hali nzuri kwa 950k unabeba..
Cont::0715242454
Location: :Mbeya town
Samsung Galaxy J7 duos in good conditionSamsung Galaxy Note 3 in conditions inataka 550k
Cont::0715 242454
Location: :Mbeya
hiyo s5 bado unayo mkuu??S5 vipi?imetumika kdg kwa 300
namba yako ya simu basi mkuu
Mkuu kula laki 3LG G3 with charger
Capacity 16GB
In good condition
Price 460,000/=
Call 0656-816616
Mkuu bado unayo?Nauza samsung s4
Ram 2
Rom storage 16gb
Network 2G 3G 4G lite
Android version lolpop
Camera 13.
BEI.300000 simu bado mpya.napatikana dar.
Mkuu hiyo kanga haiuzwa???Mkuu bado unayo?
BATERY LIFE NI MUDA GANI BOSS?Kama kweli upo serious ntakuachia kwa 550 mkuu
Dar sehemu ganiWakuu nina simu nauza... iPhone 6 mpya kabisa ndani ya box with accesories from Apple Store - Virginia in US, I'm looking for $600 only also i have used iPhone 5C for $300, New in a box Samsung Galaxy Note4 $350 and New Samsung Galaxy S6 $500... Will meet the interested and seerious person anywhere in downtown Dar-es-salaam... PM at anytime will respond to you guys
Kwa matengengenezo mazuri, bora na ya kisasa ya smart phone yako na computer wasiliana nasi ili upate huduma nzuri na ya uhakika bila uharibifu wa device yako namba zetu ni.0714648822/0768393948
NAUZA IPHONE 6S USED ILA IKO KWENYE HALI NZURI,16GB,CAMERA 12MP,GOLD COLOUR..BEI TSH 1,100,000[/
Mimi ninahitaji yenye 32GB au zaidi
Battery life huwa ina vary kulingana na matumizi yangu mkuu. Kama ipo full charge, nkipunguza mwanga wa screen yake usiwe mkali sana, na kama sichezi sana games kubwa za online hapo charge huwa inakaa kwa siku mpaka 4 hata kama data zipo on kila siku. Screen brightness kali na online games kubwa ndo zinamaliza charge kwa hii nnayoitumia, ila kama ilikua full charged still ina uwezo wa kufika siku 2 hata kama data zipo on. Wala huhitaji kutembea na power bank mkuuBATERY LIFE NI MUDA GANI BOSS?