uko deep 2 the inner level.lolHapana. Nafikiri walengwa ni wale ambao bado wanatumia internet Explorer 6 ambayo ni "notoriously buggy and incompatible with pretty much everything except malware." Imagine Internet explorer sasa ipo version ya 9 lakini bado wapo wanatumia version ya 6 na wanaona is perfectly fine. Kiutaalamu wanasema watu wenye IQ ndogo hawapendi mabadiliko. Kwa hiyo utafiti umejaribu ku extend hii hypothesis kwenye software japokuwa wamesema utafiti zaidi unatakiwa.
Kabla ya hii study, nilichokuwa najaua ni kuwa kama unatumia Internet Explorer hata kama ni latest version, you're likely to encounter malwares, trojans, na hata vurus kulinganisha na browsers nyingine. Sababu ni kwamba, tofauti na browsers nyingine, Internet Explorer inakuwa more targeted zaidi kwa kuwa bado inatumiwa na watu wengi na wengi wa hao watu hawafanyi regular updates.
Natumia Firefox, Comodo Dragon na custom made web agent, nakaa mbali sana na Chrome kwasababu SEO ila sidhani kama watumiaji wa IE wana IQ dongo bali wengi wao sio techi savvy.
Utafiti uliofanywa unaonyesha kuwa watumiaji wa Internet Explorer wana IQ ndogo. Utafuti umekuta kwamba wanaotumia Chrome, Firefox na Safari wana IQ ya kati na wale wanaotumia Camino and Opera wana IQ ya juu sana. Kampuni iliyofanya huo utafiti inaitwa AptiQuant na wametishiwa kuchukuliwa hatua za kisheria na wapenzi wa Internet Explorer. Habari kamili: BBC News - Internet Explorer users have lower IQ says study
Wewe unatumia browser ipi? Mie Chrome.
Hii post imenichekesha bana... alafu siku zoote hupenda Internate Explorer...
ila baada ya ku change PC hii Windows Vista ikanigomea Explorer na kuswitch to Fire fox... hapa sasa napima vipi?? lol
I hate Internet Explorer. Sikumbuki mara ya mwisho nilitumia lini. Duh! Halafu na wewe bado unatumia vista? Wanaotumia Vista nao IQ zao ndogo. lol. Bora XP or Windows 7 au hata Ubuntu.
Hapana. Nafikiri walengwa ni wale ambao bado wanatumia internet Explorer 6 ambayo ni "notoriously buggy and incompatible with pretty much everything except malware." Imagine Internet explorer sasa ipo version ya 9 lakini bado wapo wanatumia version ya 6 na wanaona is perfectly fine. Kiutaalamu wanasema watu wenye IQ ndogo hawapendi mabadiliko. Kwa hiyo utafiti umejaribu ku extend hii hypothesis kwenye software japokuwa wamesema utafiti zaidi unatakiwa.
Kabla ya hii study, nilichokuwa najaua ni kuwa kama unatumia Internet Explorer hata kama ni latest version, you're likely to encounter malwares, trojans, na hata vurus kulinganisha na browsers nyingine. Sababu ni kwamba, tofauti na browsers nyingine, Internet Explorer inakuwa more targeted zaidi kwa kuwa bado inatumiwa na watu wengi na wengi wa hao watu hawafanyi regular updates.
Unajua mkuu kuna baadhi na ofisi nyingi wanalazmika kutumia oudated IE sababu application au program wanazotumia zimetengenezwa arround IE version fulani tu . Nimeshakutana na Hii kitu Kuna watu au kampuni hawafanyi upgrade ikitoka. Wao as along as kitu kinapiga mzigo safi basi hawaoni umuhimu wa kuupgrade.
Binafsi natumia chrome na firefox specifically kwa ajili ya kucheza cheza na mambo ya web.
Sijui hao jamaa wa ngefanya esearch kwa kutumia OS matokeo yangekuwaje. Maana mm bado nina XP na ubuntu . Na most of the time natumia windows unless kuna mambo yanayohitaji linux
Ubuntu inahitaji IQ ya hali ya juu. lol.
Mimi firefox na opera
Sure. hapa tutajua wanaJF wana IQ ipi.