Watumiaji wa Internet Explorer wana IQ ndogo

Fire fox... nimeimaster kiasi kwamba i can play with it.. like a doll ,

i have chrome! pia but sio sana!

IE ninayo sababu lazima iwepo but si tumii kabisaa
 
  • Thanks
Reactions: EMT
hahahaha ubishi wenu tayari tushawapima iq zenu, hakuna ubishi opera kwa east africa ni bora ukiwa na net ya slow ile opera turbo it help, then opera ina memory kubwa ya kukumbuka images incase ukiload same image again inakuja tu haiload tena mfano kama banners natumia operaaaaaaaaaaaaa
 
  • Thanks
Reactions: EMT
nina wasiwasi na IQ ya watu waliofaanya utafiti huo. Mi natumia FF na mara chache Chrome na Opera. ninafahamu watu wengi wanaotumia IE na wanafahamu vitu kuliko mimi. Hawa jamaa waliofanya huu utafiti yawezekana walitumia IE ku browse eeh!!?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
........... Imagine Internet explorer sasa ipo version ya 9 lakini bado wapo wanatumia version ya 6 na wanaona is perfectly fine. Kiutaalamu wanasema watu wenye IQ ndogo hawapendi mabadiliko. Kwa hiyo utafiti umejaribu ku extend hii hypothesis kwenye software japokuwa wamesema utafiti zaidi unatakiwa.

Unajua mkuu kuna baadhi na ofisi nyingi wanalazmika kutumia oudated IE sababu application au program wanazotumia zimetengenezwa arround IE version fulani tu . Nimeshakutana na Hii kitu Kuna watu au kampuni hawafanyi upgrade ikitoka. Wao as along as kitu kinapiga mzigo safi basi hawaoni umuhimu wa kuupgrade.

Binafsi natumia chrome na firefox specifically kwa ajili ya kucheza cheza na mambo ya web.

Sijui hao jamaa wa ngefanya esearch kwa kutumia OS matokeo yangekuwaje. Maana mm bado nina XP na ubuntu . Na most of the time natumia windows unless kuna mambo yanayohitaji linux
 
  • Thanks
Reactions: EMT
kwa spidi za internet hapa Afrika mashariki IE ni poa zaidi.Hizo nyingine utakesha una refresh.

mkuu sio kweli, Google Chrom is the best.. ina Cashe nzuri sana inayoifanya iwe very fast coz inakumbuka vitu vingi...
 
Mmiliki wa kampuni ya AptiQuant, ametoa ufafafnuzi na kusema kuwa hawa kumaanisha kuwa kama unatumia IE
kuwa uelewa wako ni wachini bali kama uelewa wako ni wachini kuna uwezekano mkubwa wa wewe kutumia IE.......

Hah hah hah! amenifurahisha sana huyu jamaa......Eti kama IQ yako ni ndogo Basi kuna uwezekano mkubwa wa wewe kutumia IE......

Sasa nitaanza kupima IQ za watu kwa kipimo cha aina ya Browser anayotumia teh teh teh!
I just want to make it clear that the report released by my company did not suggest that if you use IE that means you have a low IQ, but what it really says is that if you have a low IQ then there are high chances that you use Internet Explorer,
 
Laughing out loud...!!!

This is why kuna wabongo wapo tayari kuchagua CCM over and over badala ya kujaribisha the alternative and make a learned decision based on experience.
 
Ni ngonjera za kibiashara. kila kitu kinaanzia wapi na kuendelea wapi. technology is never static. ilianza IE na sasa kuna zaidi na watu wanahama nazo tu. kuna watu waliiweza sana OS ya DOS enzi zile na kuiona WIMP kuwa ni ya kizembe!!!
 
Natumia Firefox, Comodo Dragon na custom made web agent, nakaa mbali sana na Chrome kwasababu SEO ila sidhani kama watumiaji wa IE wana IQ dongo bali wengi wao sio techi savvy.
 
Daaah huo utaft ni nomaa..!mwanasaikolojia mmoja told me,'kijana nnavyokutazama how u do yor things t implies dat IQ yako n kubwa'..kumbe ts all about using Operaaa..m natumia Opera bwn dats why ma IQ n kubw.. ww je?'
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom