BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
Hiyo roho ya 'UPENDO' mbona hamuwaonyeshi wale wanaouhitaji kweli kama watoto wa mitaani? Wenyewe mnawaona kero. . .waliopendezeshwa na kulishwa vizuri na wazazi/walezi wao ndio mnawaonyesha upendo ambao wanapata wakutosha tayari.
Nwy. . .swala la mtu kutulia linaweza likatokana na mtu kujua kwamba anachohitaji huyo mtoto hakipo pale na ni lazima asubirie kitu kabla hajaondoka. Mf. mtoto anaelia njaa huwezi kumbembeleza tu na "Ohhh ohhhh" anyamaze maana hiyo 'Ohhhhh ohhhhhhh' haiondoi njoo, kwahiyo mtu anachofanya ni kumaliza kinachomuweka pale alafu ndio akaridhishe hitaji/takwa la mtoto.
watoto wa mitaani sio ishu yakuondoa kwa usiku mmoja!..ina maana sio tatizo la muda mfupi...dk au masaa!...
kwa mkasa huo hapo juu ni mdogo sana ukisema uweke kwenye mizani moja na watoto wa mitaani...ni kama KIFO na USINGIZI
...ukiamua kuitafsri kama sio UPENDO pia inaleta maana!...ila naamini katika lile kundi la watu waliokua wanamuuliza labda hiki labda hiki...wengi wana nia njema tu!
na tufike mahali tukubali kuwa WATANZANIA tuna tamaduni zetu...maana hapo tunajikosoa najua tunawarifaa wazungu!...