watu wengine sijui wakoje.. tabia hizi si nzuri jamani...

mimi hua nawaona kama ni watu ambao wanajitahidi sana kuonesha ustaarabu ila huyu alipoteza hiyo kitu..! akaonyesha kua yeye ni mbovu tu..!

Kama ulijua yeye peke yake ndio mbovu then hukuhitajika kutaja kabila lake....
 
Kulikua hamna haja ya kuhusisha kabila na hii ishu.

Alafu kama jamaa humjui umejuaje kwambani mhaya?
Neway pole.
 
Nope...but kwani hii issue has to do with being mhaya??

hey i hope unawajua hawa watu vizuri..! just think kama ningemfanyia yeye hivyo..! lazima angeongea sana na hata angeamua kuhusisha haya mambo na elimu yangu..! unajua bwana sema hutaki ku admit......!
 
samahani ni neno dogo lakini linawashinda wengi! Pole kwa yaliyo kukuta, ingekuwa mie ningepachimba hata kwa maneno kama ngumi imeshindikana! Hongera kwa ustaarabu kaka
 
Mungu akubariki..! thanx..!
 
Dunia inahitaji kuwa na watu wengi wenye moyo Kama wako. Binafsi ningekuwa polisi au hospitali, pangechimbika
 
Ila haikuwa na haja ya kurusha ngumi wala kugombana nae. Biblia inasema usibishane na mpumbavu, maneno uliyomwambia yanatosha kabisa. Usiwe na muda wa kubishana na wapumbavu kwani na wewe unaweza ukaonekana mpumbavu. Mimi pia ningemwambia tu sio fresh, halafu naachana nae. Huyo ungemkariri sura tu, Mungu mkubwa kuna siku atakukuta sehemu halafu mkumbushe au atakukumbuka yeye mwenyewe!
 
hey i hope unawajua hawa watu vizuri..! just think kama ningemfanyia yeye hivyo..! lazima angeongea sana na hata angeamua kuhusisha haya mambo na elimu yangu..! unajua bwana sema hutaki ku admit......!
:lol::lol:
 
Ila haikuwa na haja ya kurusha ngumi wala kugombana nae. Biblia inasema usibishane na mpumbavu, maneno uliyomwambia yanatosha kabisa. Usiwe na muda wa kubishana na wapumbavu kwani na wewe unaweza ukaonekana mpumbavu. Mimi pia ningemwambia tu sio fresh, halafu naachana nae. Huyo ungemkariri sura tu, Mungu mkubwa kuna siku atakukuta sehemu halafu mkumbushe au atakukumbuka yeye mwenyewe!

man your are very wise..! nimeipenda sana hii..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom