wewe hupendi?
naona wanataka kuongeza familya nyingine
Wife, twenzetu home.
"watu wazima wa humu wanapenda kuongelea mapenzi"
Ndiyo wanapenda "WATU WAZIMA"
ni haki yao kikatiba.
"WATU WATOTO" Hawapaswi kupenda hili, si haki yao kikatiba.
"MTU WEWE"
si haki yako kikatiba kuwapangia "WATU WAZIMA"chakuongea.
Wife, twenzetu home.
twen'zetu mai hasbendi.....nina style mpya leo...
naona wanataka kuongeza familya nyingine
wewe hupendi?
Mie sitarudi. Nimekoma kusutwa, kuonekana adui, akhaaa, wala sitaki mtu tena. Moyo wangu hata haujapona, nije niumizwe tena, wala sitaki.
Aarrrrrrrooo reo urikuwa ureno au chek repablik?