Juice ya miwa haiwezi kuwa mbadala wa sukari? Watu wazima wajifunze kutotumia sukari

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,658
46,322
Kitaalamu sukari hasa ya viwandani ni kitu kisicho na virutubisho vyovyote kwa binadamu. Kazi yake kubwa ni kukufanya upate ladha ya utamu tu.

Hivi juice ya miwa haiwezi kutumika kama mbadala wa sukari kama vile asali inavyutumika? Kwa mfano ukikoroga uji au chai unaweka kiwango fulani cha juice ya miwa, ukipika maandazi unatumia juice ya miwa kukandia unga n.k

Lakini pia watu wazima wanaweza kujifunza kutotumia sukari ya viwandani ya kuongeza katika chai, kahawa

Kama watu wazima nchi hii wangeweza kuachana na sukari ya viwandani tungeokoa mamilioni ya dola na pia kupunguza matumizi.

Naona hata kampuni za bia na juice siku hizi wanajivuniza kutoongeza sukari katika nyingi ya bidhaa zao.
 
Twashukuru kwetu hatuna shida ya sukari,mfuko huu ni,3500.
images%20(2).jpg
 
Kitaalamu sukari hasa ya viwandani ni kitu kisicho na virutubisho vyovyote kwa binadamu. Kazi yake kubwa ni kukufanya upate ladha ya utamu tu.

Hivi juice ya miwa haiwezi kutumika kama mbadala wa sukari kama vile asali inavyutumika? Kwa mfano ukikoroga uji au chai unaweka kiwango fulani cha juice ya miwa, ukipika maandazi unatumia juice ya miwa kukandia unga n.k

Lakini pia watu wazima wanaweza kujifunza kutotumia sukari ya viwandani ya kuongeza katika chai, kahawa

Kama watu wazima nchi hii wangeweza kuachana na sukari ya viwandani tungeokoa mamilioni ya dola na pia kupunguza matumizi.

Naona hata kampuni za bia na juice siku hizi wanajivuniza kutoongeza sukari katika nyingi ya bidhaa zao.
kama ambavyo viwandani hivi sasa havizalishi sukari kwasabb miwa imejaa maji sana,

basi kaa ukijua kwamba hata juice ya huo mua ulojaa maji hivi sasa haina ladha au utamu wa sukari una maji na harufu tu ya kimea cha mua ambacho ni kichocheo kuzalisha nyongo nyingi mwilini 🐒
 
Back
Top Bottom