Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,565
- 21,073
Aisee nimekuwa nikipita hapa Polis Mess na sometimes mess ya Jeshi Wtz kumchukulia CH4CH2OH( pombe) mke wangu.
Nachukua kama dakika kadhaaa kutupia macho hapa na pale.
Jambo ninaloweza kusema ni kuwa hawa watu wanaokunywa pombe wanaonekana kuwa na furaha na wanapendana sana.
Na vile vile pamoja na maisha kuwa magumu mtaani bado hawa watu hawakosi pesa ya kuburudisha bongo zao.
Nini siri kubwa ya mafanikio?