Watu wanaokunywa Pombe wanaonekana wanafurahia maisha kuliko wasiokunywa

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,155
20,329
Aisee nimekuwa nikipita hapa Polis Mess na sometimes mess ya Jeshi Wtz kumchukulia CH4CH2OH( pombe) mke wangu.

Nachukua kama dakika kadhaaa kutupia macho hapa na pale.

Jambo ninaloweza kusema ni kuwa hawa watu wanaokunywa pombe wanaonekana kuwa na furaha na wanapendana sana.

Na vile vile pamoja na maisha kuwa magumu mtaani bado hawa watu hawakosi pesa ya kuburudisha bongo zao.

Nini siri kubwa ya mafanikio?
 
hata sisi wanywa kahawa na kashata tunaenjoy sana,
apo pembeni kuna draft au bao,
ubishani wa simba na yanga ukiwa moto moto,

una fa nchezo nini
 
Maisha mafupi baby, ukikunja kunja sura utazeeka
Usikunje kunje sura utazeeka
Usikunje kunje sura utazeeka
Usibane bane sana utazikwa nalo

Enjoy life is too short
Kamata kamata kamata, kamata!
Kamata kamata kamata, kamata!

Eti baby wangu anivuruge ubongo
Hata kazini kwangu anichanganye kichwa
(Mmhh! weeh! sio kweli)
Weeh! Beer tamu

Asikwambie mtu tu tu beer tamu
Beer beer, mitungi beer tamu
Ah! Yii! Beer tamu
Asikwambie mtu tu tu beer tamu
Beer beer, mitungi beer tamu
Ah! Yii!
 
Aisee nimekuwa nikipita hapa Polis Mess na sometimes mess ya Jeshi Wtz kumchukulia CH4CH2OH( pombe) mke wangu.

Nachukua kama dakika kadhaaa kutupia macho hapa na pale.

Jambo ninaloweza kusema ni kuwa hawa watu wanaokunywa pombe wanaonekana kuwa na furaha na wanapendana sana.

Na vile vile pamoja na maisha kuwa magumu mtaani bado hawa watu hawakosi pesa ya kuburudisha bongo zao.

Nini siri kubwa ya mafanikio?
Mioyo ya Watu ni giza = Kitanda usicholalia huwezijua kunguni wake...

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom